Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Kwa kutumia unga wa mizizi ya mlonge mwanaume utakuwa rijali na utaondokana na tatizo la kushindwa kumfikisha kimapenzi mwenzi wako. Kumbuka kuwasiliana nami ili upate kitu kizuri ,unga ulioandaliwa katika mazingira safi bila kukausha kwenye jua
Statement nilio ipenda umeandaliwa bila jua, biashara matangazo, nipe location ulipo nije kujionea huo mti maana una sifa 300
 
Hivi naombeni kuuliza, kama ulikuwa na tatizo la kiafya ambalo ulikuwa hujui na ukaanza kutumia mmea wa mlonge iwe majani, mbegu, mizizi kivyovyote vile, yale maeneo yaliyokuwa na tatizo yanaanza kuibuka kama homa, sehemu za mwili kuuma pengine miguuni, mikononi na kadhalika.

Je, ni kweli matumizi ya mlonge wakati mwingine yanaibua maumivu sehemu zenye kasoro?
 
Ndo unatibik hivo sasa
 
Mi huyachuma na kuyachemsha nakunywa kama juisi,majani ya Mlonge sio machungu yana utamu kwa mbali kama utamu wa sukari,ila vile vimbegu vyako vina ugwadu flani hivi ,pia huyatafuna pia hivi hivi hayana uchungu
Hata majani ya muarobaini ukiyasaga na Brenda ayana uchungu kabisa yanakuwa kama majani ya mpera radha yake na utibu moyo
 
Wengi naona wanayaanika majani ya mlonge halafu husagwa kwa ajili ya matumizi, je nikichemsha majani yake na kutumia juice yake yatakuwa bado yana ubora wake uleule?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom