Zijue dalili za kuvamiwa na mapepo

Zijue dalili za kuvamiwa na mapepo

Sijui kama ni kwel lakin kabla ya mgogoro wa ndoa yetu na hatimae kuvunjika nimeshuhudua 90% ya dalili kwenye item no.1 (dalili za kiroho) na item no.2 (dalili za kihisia na akili).
Hiz kwa ex-wife nimeziona live kwa 90%.

hapo kwanza ex-yf alikua mtu wa kiroho sana na ndiye alinivuta hata mimi kuamua kusali makanisa ya pentecoste. She was soo good kias cha kufikia hatua ya kuwa Katibu wa kanisa na alifanya hiyo huduma kwa mafanikio makubwa sana. Ghafla booom!!!!

Chali. Aka change sana , na migogoro ikaanza mpaka kudai talaka..
Ooh, hali uliyoiona ni dalili ya kweli kabisa ya kuvamiwa na "pepo wa mafarakano." Pepo hao wakimuingia mtu anabadilika kabisa kiasi cha kusababisha ndoa kuvunjika. Sio wewe tu uliyepatwa na hali hiyo, kuna ndoa nyingi ninazozifahamu zilizovunjika kwa sababu hiyohiyo ya ama mke au mme kuvamiwa na pepo.

Hatua hizo nilizotaja za kukabiliana na pepo, zikifanyika mapema, ndoa inasalimika.

Kuna kaka mmoja alitengana na mke wake karibu mwaka mzima kwa sababu ya pepo hao. Hata wao walikuwa wanasali kanisa kama hilo ulilotaja. Mke alivamiwa na pepo kwa namna ambayo hata baadhi ya Watumishi hawakuamini kuwa ni pepo. Ila huyo kaka alitambua ni pepo wameleta mafarakano. Hivyo akamuomba sana Mungu na kufunga, hatimaye pepo walimtoka mke wake, wakarudiana! Hadi leo wanaendelea vizuri na ndoa yao.
 
HAta kama pepo kahusika ila akili zimgine unaona kabisa hiz nazo zake sio 100% pepo. 🤣🤣. Kurudiana tena hapo mtihani
 
Kurudiana tena hapo mtihani
Hata hilo linawezekana kwa imani na kwa maombi. Kuna kaka mwingine alitengana na mke wake kwa miaka 15. Hao hawakujua kuwa ni pepo, hadi mmojawao alipojifunza somo kama hili akaanza maombi. Pepo waliondoka wakarudiana tena after 15 years!!
 
Ahahahahahahah..
Hapo kuna tatizo.
 
Back
Top Bottom