Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,570
- 14,110
Unaweza kuthibitisha demons wapo kwa real evidence?Aah, kwanini nikuletee stori za ki-stone, kwani hapa JF ni stonini? Acha kumfurahisha shetani na mapepo yake. Hao ma-demons wameishahukumiwa kwenda motoni. Wanaijua vizuri raha ya mbinguni. Hawataki wewe uingie mbinguni; wanataka wewe uende nao motoni, ndio sababu usiku na mchana wanafanya kazi ya kuwadanganya watu wasiamini mambo ya kiroho.