Huyu ni aina gani ya mbwa wakuuView attachment 1182734
Mie ni mpenzi mkubwa sana wa kufuga mbwa katika Maisha yangu nimekuwa na mbwa mbalimbali lakini haswa ni German Shepherd ingawa pia nilikuwa na mbwa mmoja niliuziwa na jamaa yangu sikuwa hata najua ni breed gani huyo mbwa alikuwa mkubwa sana rangi nyeupe na nyeusi na alikuwa ana uzito mkubwa mrefu na mkia una manyoya mpk tulikuwa tunayapunguza.
Kuna tatizo moja kubwa sana kwenye nchi zetu za tropiki hawa mbwa breed za nje uwa wanashindwa kuvumilia mazingira. Mfano mie nilikuwa na Germany Shepherd wakubwa wa 4 wote wamekufa mwezi wa nne 2019 kuna ugonjwa uliingia walikuwa hawal.i na wanaharisha kinyesi cheusi. Nilikuwa nawachanja chanjo zote ila walikufa wote. Niliumia sana
Sasa baada ya hao mbwa kufa kuna siku nilikuwa natoka Moro nikakuta madogo maeneo ya Ruvu wanatembea na mbwa ila ana masikio kama Germany Shepherd basi nikasimama na kuwaomba waniuzie wakakubali
Nilipofika nae Dar huyo mbwa alikuwa na mambo ya ajabu sana yaani alikuwa hatoki bandani anaogopa mpk tunaomfuga. Kuna siku nikambeba naikaenda kumtupa kama km 5 from home. Tumekaa baada ya wiki tukamkuta getini kakonda kama kijiti. Tukampokea tukamwita daktarin akamtibu.
To cut story short huyo mbwa baada ya kurudi nadhani akili ikamkaa sawa yaani alikuwa mkali sijapata kufuga mbwa akafikia level hiyo ya ukali. Ameshaua paka wawili na ana sauti akibweka mpk nadhani vibaka wameshaiwekea X nyumba yangu na anakuwa haraka na ana umbo la ajabu na pia hajawahi kuumwa nimempa jina la MAWAZO kutokana na tabia zake alipokuwa mdogo
Mh..PussyMIMI NAWAPENDA PUSSY SANA
Iringa kwa hawa mbwa hakyanani na mitamaa yenu mngeliwa woteIringa hawawezi kuwepo hawa hao mbwa tungewala wote hasa uyo
Inu mwenye kilo 90 angakua wa sherehe[emoji39][emoji39]
Cane corso tungemla kwenye misiba [emoji39][emoji39]
Uo mguu wa Cane corso kama kakunja ngumi hii ni hatari kubwa sana kwa kina kamweneHabarini za Alhamis natumaini mpo salama sana. Naomba kuleta Uzi huu maalumu kuhusu tunaopenda kufuga mbwa. Duniani kuna aina nyingi sana za breed ya mbwa achilia mbali German Sheepshead na Bull Dog au Chihuahua. Kuna breed hatari sana zaidi ambazo zinaweza kuleta shida kwa mfugaji wake.
Hapa ninaweka breed 20 ambazo lazima ukae chonjo ukiwa nazo.
10. Inu.
Huyu ni mbwa ama breed ya mbwa yenye uzito kuanzia kilogramu 58 mpaka kilogramu 90. Na ana urefu unaoanzia inch 24 mpaka 32. Kiuhalisia huyu ni mbwa Wa mapambano na baadhi ya nchi wamekata kufuga mbwa Hawa kabsa. Mfano mzuri sana ni Inu aina ya Shiba anayepatikana katika nchi ya Japani, ambaye huyu hutumika kwenye kuwinda. Pamoja na aina nyingine Tosa Inu.
View attachment 1182512View attachment 1182513
9. American Bandogge.
Huyu ni cross breed ya American Pit bull Terrier pamoja na Neapolitan Mastiff. Sasa huyu Pit bull Terrier ni mkorofi balaa unakwenda kuchanganya na kiburi cha Neapolitan Mastiff. Hapo unakwenda kutengeneza mbwa mmoja mkatili sana.
Ni mbwa aliyejaa misuli sana, ijapokuwa alipofanyiwa breed hakukuwa na malengo ya kuwa mbwa Wa kupigana lakini matokeo yake yakawa ndo hivyo.
View attachment 1182510View attachment 1182511
8. Cane Corso.
Mbwa kwenye uzito kuanzia kilogramu 44 mpaka 68. Kuanzia sura mbaya mpaka tabia yake hakika ni mbwa mwenye ukali Wa kipekee. Akiwa ni breed ya Mbwa aina ya Canis Pugnax ambao Hawa ni mbwa waliotumika na Warumi kwenye Vita. Hivyo damu inatembea ndani ya Cane Corso.
View attachment 1182508View attachment 1182509
7. Bull Terrier.
Mbwa hawa wana kichwa kikubwa lakini wanaongoza kwa kuwa na misuli mikubwa na imara sana. Ana uwezo Wa kuwinda kwa ukali na ukatili sana hasa hasa kwa wanyama wadogo.
View attachment 1182506View attachment 1182507
6. Dogo Argentino.
Huyu ni mbwa mrefu,mkubwa na aliyejaa misuli sana, chimbuko lake ni Argentina kwa lengo la kusaidia kuwinda. Na inasemekana alifanyiwa breed ili kuweza kupambana na wanyama kama Puma pamoja na Dubu mwitu.
View attachment 1182504View attachment 1182505
5. Boer Boel.
Mbwa mkubwa sana na ni breed ya Mastiff kutoka kwenye South Africa. Alifanyiwa breed kwa lengo la kulinda mashamba au nyumbani. Mwanzoni walitumika kama mstari Wa mbele kupambana na mbwa mwitu. Pia hata kwenye mawindo ya mwituni mfano nyati au swala walikuwa na uwezo Wa kufuatilia mnyama na kumchukua mpaka kwa mwenye naye. Ni mbwa wenye uaminifu sana nyumbani pia kulinda familia zao.
View attachment 1182502View attachment 1182503
4. Gull Dong.
Anajulikana sana kama (Pakistan Bull Dog) akiwa ni cross breed ya Gull Tarrier pamoja na Bully Kutta. Ana nguvu sana na alifanyiwa breed kama mbwa mpiganaji. Ni ngumu sana kumtunza na ana hasira za karibu.
View attachment 1182497View attachment 1182499
3. American Bull Dog.
Huyu ni mbwa mwenye misuli mingi kuzidi mbwa wote. Ukisikia inafika sehemu mtu anampiga shaba mbwa wake basi jua kuwa American Bull Dog ni moja wapo. Kwani wana tabia ya kuwa wagumu kusikia na kufuata maagizo. Alifanyiwa breed kwa lengo la kupambana na dubu mwitu, pamoja na kulinda mifugo ikiwemo na mali.
View attachment 1182481View attachment 1182486
2. Wolf Hybrid.
Kama jina linavyosema hapo, huyu ni mbwa mwenye breed ya mbwa pamoja na Mbwa mwitu. Huyu alifanyiwa breed na kupelekea kuwa na tabia zinazoshabiana na Mbwa mwitu. Hana tabia inayoeleweka kwani anaweza kuwa kama mbwa lakini baadaye anakuwa kama mbwa mwitu tena.
View attachment 1182476View attachment 1182477
1. Rottweiler.
Huyu naomba nimuweke namba moja maana ni mbwa mwenye kiburi balaa kwank ni breed ya American Bull Dog pamoja na Mbwa mwitu. Na anaanza kubadilika tabia akiwa na miaka 3 tu.
View attachment 1182470View attachment 1182471
Kma unataka mbwa wa kulinda, Rottweiler ni mzuri sana hii breed naijua na ninao. Ila kaa naye kwa machale, maana anaweza kukubadilikia muda wowote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mawazo kawa farajaa..[emoji23][emoji23]Mie ni mpenzi mkubwa sana wa kufuga mbwa katika Maisha yangu nimekuwa na mbwa mbalimbali lakini haswa ni German Shepherd ingawa pia nilikuwa na mbwa mmoja niliuziwa na jamaa yangu sikuwa hata najua ni breed gani huyo mbwa alikuwa mkubwa sana rangi nyeupe na nyeusi na alikuwa ana uzito mkubwa mrefu na mkia una manyoya mpk tulikuwa tunayapunguza.
Kuna tatizo moja kubwa sana kwenye nchi zetu za tropiki hawa mbwa breed za nje uwa wanashindwa kuvumilia mazingira. Mfano mie nilikuwa na Germany Shepherd wakubwa wa 4 wote wamekufa mwezi wa nne 2019 kuna ugonjwa uliingia walikuwa hawal.i na wanaharisha kinyesi cheusi. Nilikuwa nawachanja chanjo zote ila walikufa wote. Niliumia sana
Sasa baada ya hao mbwa kufa kuna siku nilikuwa natoka Moro nikakuta madogo maeneo ya Ruvu wanatembea na mbwa ila ana masikio kama Germany Shepherd basi nikasimama na kuwaomba waniuzie wakakubali
Nilipofika nae Dar huyo mbwa alikuwa na mambo ya ajabu sana yaani alikuwa hatoki bandani anaogopa mpk tunaomfuga. Kuna siku nikambeba naikaenda kumtupa kama km 5 from home. Tumekaa baada ya wiki tukamkuta getini kakonda kama kijiti. Tukampokea tukamwita daktarin akamtibu.
To cut story short huyo mbwa baada ya kurudi nadhani akili ikamkaa sawa yaani alikuwa mkali sijapata kufuga mbwa akafikia level hiyo ya ukali. Ameshaua paka wawili na ana sauti akibweka mpk nadhani vibaka wameshaiwekea X nyumba yangu na anakuwa haraka na ana umbo la ajabu na pia hajawahi kuumwa nimempa jina la MAWAZO kutokana na tabia zake alipokuwa mdogo
Mfano Shiba inu unadhani kuna mhehe Wa kujitolea kwenda kumchinja???Iringa kwa hawa mbwa hakyanani na mitamaa yenu mngeliwa wote
uyo Cane Corso tu cheki ule mguu kama kakunja ngumi ivi sasa jikute una shoboka oune[emoji23][emoji23]Mfano Shiba inu unadhani kuna mhehe Wa kujitolea kwenda kumchinja???
Achilia mbali German Shepherd au Dogo Argentino.
Je American terrier au Bull Dod au Wolf Hybrid??
Hawa wanawatafuna wahehe wote na kushushia na Ulanzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂Mkuu mimi mbwa wangu namlisha maandazi uyu kitaalamu anaitwaje?
Hizi types nyingine kama Rottweiler zimesababisha vifo vya watu USA ndie ije kuwa uku kwetu Bonge utapata majangaKwa hiyo Rottweiler, Bull Terrier, German Shepherd na aina nyingine yyte, unaweza ukawafuga wote kwa wakati mmoja na ktk eneo mmoja?
Kweli kabsa mkuu breeds kama hizi ni hatari sanaHizi types nyingine kama Rottweiler zimesababisha vifo vya watu USA ndie ije kuwa uku kwetu Bonge utapata majanga
American Bandogge ni katili kuliko maana hata sura tu ni noma sana