Zijue aina za mabinti na tabia zao

Zijue aina za mabinti na tabia zao

Wanajukwaa, Heri ya Krismas na Mwaka mpya....!!!!, Basi km Kichwa kinavyojieleza, Hii kitu nimeinote Sehemu, halafu na mimi nika proove kwa kufanya Utafiti Wangu.Ni kwamba Mabinti wana Maumbile Tofauti na tabia zao hutofautiana pia kadri ya Maumbile yao, Tafadhari "USIBISHE ",Tiririka nami.

1.Wasichana Wafupi -Hawa wanaongoza kwa wivu wa Mapenzi
na kuwajali Wapenzi wao.

2.Wasichana Warefu -Hawa huwa
hawawajali wapenzi wao na ha
waogopi mahusiano kuvunjika,
hawajui kubembeleza hata kido
go.

3.Wasichana Wenye DIMPOZ, MWA
NYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS, na KITEMBE -Hawa huongoza kwa kutokuwa Waaminifu katika Mapenzi.

4.WASICHANA WANENE -Hawa huongoza kwa Mapenzi ya Kweli,
Yaani akipenda amependa Kweli.

5.WASICHANA WEMBAMBA -Hawa
ni wabishi sana, hawa wanaongoza kwa kutendwa.

6.WASICHANA WEUSI -Wanaongoza kwa kutoa mimba na
Kupenda Wanaume warefu na weupe.

7.WASICHANA WEUPE -Wanaongoza kwa kuzalia Nyumbani, na Wengi wao huolewa wakiwa na watoto tayari, huku wakipenda kuolewa na Waarabu Kuliko Wanaume Weusi.

-Naomba niishie hapa mnaweza kuongezea. Wanawake Tafadhari msije kunifikiria vibaya. Ni Kautafiti tu Jamani.
Kwenye tafiti zako je ulisaidiana na
" TWAWEZA"
 
Na wenye vyura wapoje nilitegemea kuwaona lakini sijaona umewazungumzia
 
Unakuta mtu ni mfupi,mnene,mweusi afu anakithembe..ndo anakuwa na sifa gani?
 
Ukikua na kuacha uvulana na wao KUWA wanawake mtabadilika
 
Unakuta mtu kaja kwako ni rafiki yako ila akifika anakuwa busy na shemeji yake utafikiri wanajuana. Namtumia sms 'tafadhali ondoka kuna jambo nifanye na shemeji yako'
Kuna jambo mnataka fanya?
Mwajei bwana.

Mawasiliano ni jambo la kwanza,
Hapo tushapeana namba,
Kesho watu kama nnalia,
Hata kama umemtimua shostito
 
Mkuu ikumbuke sheria ya takwimu.
Ni chombo kimoja kimechoruhusiwa kutoa takwimu
Mbona TWAWEZA wanatoa Takwimu wakati ni asasi ambayo inajitegemea !!, na mimi ninajitegemea. Naipunguzia majukumu Serikali.
 
Unakuta mtu ni mfupi,mnene,mweusi afu anakithembe..ndo anakuwa na sifa gani?
Ipo ambayo itakuwa Dominant na
nyingine zinakuwa Recessive, hivyo iliyo Dominant ndo itabeba tabia zilizotajwa.
 
Back
Top Bottom