Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
- Thread starter
- #21
Ni Kweli Mkuu, wala hujaongopa.sawa tu hakuna mkamilifu duniani
Ni Kweli Mkuu, wala hujaongopa.sawa tu hakuna mkamilifu duniani
Hahahaaa. Sawa Mkuu.Hatuwachanganyi wala kuwadanganya bali ndo Ukweli wenyewe ulivyo.
Poa, na wewe leta mawazo yako.Ni mawazo yako
Nime note sehemu, then nikafanyia Utafiti na nikaona ni Kweli japo sio wote.Pathetic idiot..eti nime note..una akili kweli ww dogo au ndio majivu tu
Kwani wewe ukoje ???.Hahahaaa. Sawa Mkuu.
Ila nikwambie katika kumi basi mmoja ndio yuko kama hivyo ulivyoandika.
Heri yako Mkuu, umebahatisha.mke wangu ni mrefu lakini aisee, ana wivu kuliko kawaida. ananionea wivu hadi kwa dada zangu. wadogo zake wakija kwangu anawapaga semina sijui manake mashemeji naona wananiheshimu kama mim mkwe wao vile.
Kwanini Mkuu ???.Mkuu umejilipua kuandika uzi
Duuh.Kwani wewe ukoje ???.
\ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh uwiiiUnakuta mtu kaja kwako ni rafiki yako ila akifika anakuwa busy na shemeji yake utafikiri wanajuana. Namtumia sms 'tafadhali ondoka kuna jambo nifanye na shemeji yako'
Kama umejibiwa nitag lilipo jibuUna takwimu?
Kwanini Mkuu ??. Inakuhusu nini ??.CHAULA RICH Chali ya Moro.
NIMEKUMISSUna takwimu?
umeiga toka RADIO ONE AU?Wanajukwaa, Heri ya Krismas na Mwaka mpya....!!!!, Basi km Kichwa kinavyojieleza, Hii kitu nimeinote Sehemu, halafu na mimi nika proove kwa kufanya Utafiti Wangu.Ni kwamba Mabinti wana Maumbile Tofauti na tabia zao hutofautiana pia kadri ya Maumbile yao, Tafadhari "USIBISHE ",Tiririka nami.
1.Wasichana Wafupi -Hawa wanaongoza kwa wivu wa Mapenzi
na kuwajali Wapenzi wao.
2.Wasichana Warefu -Hawa huwa
hawawajali wapenzi wao na ha
waogopi mahusiano kuvunjika,
hawajui kubembeleza hata kido
go.
3.Wasichana Wenye DIMPOZ, MWA
NYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS, na KITEMBE -Hawa huongoza kwa kutokuwa Waaminifu katika Mapenzi.
4.WASICHANA WANENE -Hawa huongoza kwa Mapenzi ya Kweli,
Yaani akipenda amependa Kweli.
5.WASICHANA WEMBAMBA -Hawa
ni wabishi sana, hawa wanaongoza kwa kutendwa.
6.WASICHANA WEUSI -Wanaongoza kwa kutoa mimba na
Kupenda Wanaume warefu na weupe.
7.WASICHANA WEUPE -Wanaongoza kwa kuzalia Nyumbani, na Wengi wao huolewa wakiwa na watoto tayari, huku wakipenda kuolewa na Waarabu Kuliko Wanaume Weusi.
-Naomba niishie hapa mnaweza kuongezea. Wanawake Tafadhari msije kunifikiria vibaya. Ni Kautafiti tu Jamani.
Ndio japo siyo rasmi, na nikaona kuna Ukweli ndani yake. Japo sio wote wenye tabia hizo kadiri ya maumbile yao.
Mkuu Hute umenifurahisha kuhusu semina kwa mashemeji
Pathetic idiot..eti nime note..una akili kweli ww dogo au ndio majivu tu
Ni mawazo yako
Si kwel
yap ni kweli. thanks. nilikuwa natype kwa mtu fulani kumbe nimebonyeza kwenye post yako.
Hebu wacheni kutuchanganya na kutudanganya sie.
Sasa unakuw na msichanamba, mwenye sifa ya urefu,mwemba,mwenye mwanya na mwenye matege
Hatareeee hapo
sawa tu hakuna mkamilifu duniani
unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza MwanamkeHatuwachanganyi wala kuwadanganya bali ndo Ukweli wenyewe ulivyo.
Sawa Mkuu, ngoja nije.unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
na hukuuu wenzio wanafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
Najaa.Miss you more mummyNIMEKUMISS
UJE NA HUKU
unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
na hukuuu wenzio wanafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI