Zijue aina 10 za mke

Kwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.

Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
Hii nayo ni aina nyingine ya mke... Mke lawama (blameful wife)
 
Mkuu imenibidi nirudi niangalie tabia za mke kiranja zikoje. Hahaaa.

Na hakuna sehemu ambapo nimejilinganisha mkuu.
Umekua tena MKE KAMUSI unaona umekosea unabisha tena kuwa hujajifananisha na mwanaume. Wewe si ndie umesema wanaume wanajifanya malaika nikakuambia zipo aina za wanaume pia subiri nyuzi
 
Ngoja nitoke zangu, nitarudi kuchangia mada baadae [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Ww kuna kitu unahitaji, mbona umeishupalia hii thread, unalo, hahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Hivi kuna masharti nilikuwa sijui kwamba ukichangia uzi tu ndio umeshaushupalia. Pole sana mkuu.

Siko uko uliko. Samahani kama nimekutoa nje ya mstari. Nisamehe bure mkuu.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hahaaa. Hivi kumbe kuna masharti nilikuwa sijui kwamba ukichangia uzi tayari umeshupalia. Pole sana mkuu.

Siko uko uliko. Samahani kama nimekutoa nje ya mstari. Nisamehe bure mkuu.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unahitaji maombi. Otherwise, ubadilike ss. We c unaona unavyopata shida kwenye thread hii. [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.

Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
Emmyta, pole kwa hili I can see hujaipenda. Ila hata mimi cjaipenda kivile maana yote mabaya isipokuwa la mwisho tu. yaani kamoja tu mtu wangu.
 
Emmyta, pole kwa hili I can see hujaipenda. Ila hata mimi cjaipenda kivile maana yote mabaya isipokuwa la mwisho tu. yaani kamoja tu mtu wangu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Naogopa hata kukujibu mana nimeshaambiwa nashupalia huu uzi. Lol.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Inawezekana ni kweli ila hizo tabia sio tatizo kama mwanaume utakuwa na utambuzi wa kuzifahamu mapema na kisha kujificha kwenye mbawa zake... Mwanamke ni rahisi zaidi kubadilishwa kuliko sisi wanaume... Ukiniuliza mimi naweza sema tabia nyingi za wanawake zinajitokeza kutokana na udhaifu wetu sisi wanaume.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…