Zijue aina 10 za mke


Ndio hapo sasa na utakuta wao ndio chanzo cha yote hayo.

Watuache tu tupumue aisee. Hatukatai mapungufu tunayo ila sio kwa kiwango wanachotupa kimezidi.
 
Yaani hii thread nai subscribe, na ikifika wakat wa jumuiya jmos, wakati wa kuchangia neno la Mungu, haijalish ni neno gan limesomwa, ikifika zamu yang nafunua simu, thread nitaisoma kama muandika mada alivyoanza, then namaliza, wapwendwa watajiju. Maana jumuiya yetu kuna madem weng halaf shobo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.

Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
Haha walezi wazuri sana aisee
 
Kwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.

Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
na ukikosa hizo sifa unakuwa si mwanamke tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…