Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,626
- 164,691
- Thread starter
-
- #21
Binafsi simkubali kabisa huyu bwana na ni bora tu muda wake uishe aondoke madarakani na ikiwezekana aondoke yeye na CCM yake yote waje watu wengine watuongoze.Ukweli ni kuwa Mh. Rais amefanya makosa mengi sana kwenye uchumi, demokrasia na haki za binadamu.
Tunachoshukuru ni kuwa na yeye ameanza kuyatambua makosa aliyoyafanya lakini kwa bahati mbaya damage iliyofanyika ni kubwa, na ni vigumu sana kuyaondoa madhara yake hata kwa miaka kumi. Leo Tamzania imeingizwa kwenye kundi la risk countries for foreign investments.
Makosa yaliyofanyika katika awamu hii yanatukumbusha umuhimu wa katiba mpya ambayo haimpi mtu mmoja mamlaka ya kufanya chochote anachokitaka bila ya kushirikiana na taasisi nyingine.
Daa ila kuna wakati anatiaga huruma jamani
Ukijifanya unajua kila kitu,hayo ndio matokeo yake.Daa ila kuna wakati anatiaga huruma jamani
BIASHARA ndio njia pekee ya kukufanya ulinde na kuongeza mtaji wako. Mara nyingi Kufunga Biashara sio kulinda mtaji bali kuupunguza kupitia matumizi.Zitto Kabwe:
Wakati Biashara zinafungwa mawaziri walikuwa wanasema kuwa wanaofunga ni WAPIGA DILI. Leo nimeshangaa kuona eti Rais anashangaa kwanini Biashara zinafungwa. Eti na maagizo yanatoka kuwa TRA isifunge Biashara za Watu sababu za Kodi. Biashara zaidi ya 200K zimeshafungwa!
Ziito Kabwe:
Leo siku nzima nimefuatilia Mkutano wa Rais Magufuli na Wafanyabiashara kutoka nchi nzima. Nawapongeza Wafanyabiashara waliojitoa bila woga kueleza hali halisi. Yote yaliyosemwa tumekuwa tukiyasema Bungeni na Nje ya Bunge. Fikra zangu kuwa tunahitaji Uongozi mpya zimeimarika
Zitto Kabwe:
Ninawasihi Watanzania kuwa tusipumbazwe na haya ‘mateke ya punda anayekata Roho’. Serikali ya CCM ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli haipaswi kuongezewa hata siku moja Ikulu. Njia ya uhakika kurejesha Uchumi wetu kwenye Reli sahihi ni kufanya MABADILIKO.
Zitto Kbwe:
Baada ya mkutano ule wa Rais Magufuli na Wafanyabiashara nimetazama makadirio ya makusanyo ya Kodi za Wafanyakazi nchini kwa Bajeti ya 2019/2020 na nimekuta makadirio yameshuka kwa zaidi ya TZS 500 Bilioni. Hii maana yake ni kuwa ajira rasmi zimeshuka sana
Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.
My take:
Ipo siku tutakuja kuelewa ukweli huu wakati tukiwa tumechelewa.
CCM ni wajanja sana tumieni akili watanzania(hapa kuna siasa inaendelea).
Kushughulikia watu wachache kwa faida ya chama na kiongozi wao kwao si tatizo.
Maandalizi ya 2020 yanaendelea.
Bora kuishi na slow learners wa darasani,kuliko kuishi na slow learners wa mambo ya siasa na wanasiasa
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi sema kuwa watu wa chama fulani(wengi wao) ni slow leaners ambao huelewa mambo kwa kuchelewa kwani kila wanapowaonya au kuwashauri,huwa hawasikii mpaka mpale mambo yanapokuwa yameharibika au matatzo kujitokeza. Kwa msingi huo huo,baadhi ya watu fulani eti sasa ndio...www.jamiiforums.com
Jikite kwenye hoja........Zito Kabwe njoo na ngonjera zako za bandari ya bagamoyo.
Mnahongwa pesa mtetee ujinga na ufisadi
na bado
Mbona ndugu migebuka ameshindwa kutwambie kama tusipo muongezea Magufuli siku ikulu nani tumpe?
Zito Kabwe njoo na ngonjera zako za bandari ya bagamoyo.
Mnahongwa pesa mtetee ujinga na ufisadi
Eti nini Zitto anasema? Anasema ''Njia ya uhakika kurejesha Uchumi wetu kwenye Reli sahihi ni kufanya MABADILIKO''. Hivi jamani uchumi wetu ulishakuwa kwenye reli sahihi ili tuurejeshe? Anakumbuka kipindi cha Kikwete alichokuwa anafaidi ndiyo anakiita ''uchumi ulikuwa kwenye reli sahihi''. Huu ni upumbavu na ubinafsi wa hali ya juu. Wanasiasa wa aina hii walaaniwe kwani wanajifikiria wao tu! Kweli kile kipindi cha Kikwete ambacho kila mtu alikuwa anaachiwa kuiba na kufanya hujuma atakavyo ndiyo anasema tulikuwa kwenye reli sahihi?Swaga ya "wapiga deal iko wapi"?
MKEO AU MMEO AKIKUSHINDA KTK NDOA UTACHUKUA HATUA MBALIMBALI IKIWAMO KUMUONYA , KUMKUMBUSHA WAJIBU WAKE N.K NA IKITOKEA AKASHINDIKANA BASI JIBU NI KUMPIGA CHINI, HIVYO ZITO YUPO SAHIHI LAZIMA NDULI AKAE BENCHIMbona ndugu migebuka ameshindwa kutwambie kama tusipo muongezea Magufuli siku ikulu nani tumpe?
KWANI AMETAJA KIPINDI CHA KIKWETE KTK HOJA YAKE? KWANI NI KIPINDI KIPI UCHUMI ULIWAHI KUWA MCHAFU KAMA AWAU HII?Eti nini Zitto anasema? Anasema ''Njia ya uhakika kurejesha Uchumi wetu kwenye Reli sahihi ni kufanya MABADILIKO''. Hivi jamani uchumi wetu ulishakuwa kwenye reli sahihi ili tuurejeshe? Anakumbuka kipindi cha Kikwete alichokuwa anafaidi ndiyo anakiita ''uchumi ulikuwa kwenye reli sahihi''. Huu ni upumbavu na ubinafsi wa hali ya juu. Wanasiasa wa aina hii walaaniwe kwani wanajifikiria wao tu! Kweli kile kipindi cha Kikwete ambacho kila mtu alikuwa anaachiwa kuiba na kufanya hujuma atakavyo ndiyo anasema tulikuwa kwenye reli sahihi?
Hayo ya wizi umeyatoa wapi?Kichwani kwako ila sio kwenye maneno ya Zitto!Anazungumzia wastani mzuri wa kukua kwa uchumi,kwa sasa tumeanguka vibaya mno!Ni suala la namba tu ambazo zinareflect uhalisia!Eti nini Zitto anasema? Anasema ''Njia ya uhakika kurejesha Uchumi wetu kwenye Reli sahihi ni kufanya MABADILIKO''. Hivi jamani uchumi wetu ulishakuwa kwenye reli sahihi ili tuurejeshe? Anakumbuka kipindi cha Kikwete alichokuwa anafaidi ndiyo anakiita ''uchumi ulikuwa kwenye reli sahihi''. Huu ni upumbavu na ubinafsi wa hali ya juu. Wanasiasa wa aina hii walaaniwe kwani wanajifikiria wao tu! Kweli kile kipindi cha Kikwete ambacho kila mtu alikuwa anaachiwa kuiba na kufanya hujuma atakavyo ndiyo anasema tulikuwa kwenye reli sahihi?
We akili yako iko tenge ntakuuliza swali la ki layman kwani wewe unataka usifaidi uchumi ukinawili? Mbona unaongea kama mlozi?Eti nini Zitto anasema? Anasema ''Njia ya uhakika kurejesha Uchumi wetu kwenye Reli sahihi ni kufanya MABADILIKO''. Hivi jamani uchumi wetu ulishakuwa kwenye reli sahihi ili tuurejeshe? Anakumbuka kipindi cha Kikwete alichokuwa anafaidi ndiyo anakiita ''uchumi ulikuwa kwenye reli sahihi''. Huu ni upumbavu na ubinafsi wa hali ya juu. Wanasiasa wa aina hii walaaniwe kwani wanajifikiria wao tu! Kweli kile kipindi cha Kikwete ambacho kila mtu alikuwa anaachiwa kuiba na kufanya hujuma atakavyo ndiyo anasema tulikuwa kwenye reli sahihi?
Watanzania tumerogwa, siyo bure!Zito Kabwe njoo na ngonjera zako za bandari ya bagamoyo.
Mnahongwa pesa mtetee ujinga na ufisadi
Afu cha ajabu yaani awa jamaa wa awamu hii sijui wanamdanganya nani kwamba hawaibi,kwa taarifa yako wizi ni kama wote hiviHayo ya wizi umeyatoa wapi?Kichwani kwako ila sio kwenye maneno ya Zitto!Anazungumzia wastani mzuri wa kukua kwa uchumi,kwa sasa tumeanguka vibaya mno!Ni suala la namba tu ambazo zinareflect uhalisia!
Hayo ya wizi yakwako!