TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Habari James!Weka bei
Weka bei
Weka bei
Habari Bob!Non removable battery mnazo
Msimu ndo huu wakuandaa zawadi kwa ajili ya wapendwa wetuJamani njooni huku Zigo la Disemba limeachiwa na watu wetu wanaojua hali zetu TECNO.
Akufaae kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. Hawa jamaa wametusaidia watu wengi kumiliki smartphone. Unapata kwa bei poa unayoimudu....
Habari Bob! Simu zetu zote Betri zake ni Non removable Karibu.
Habari Bob! Simu zetu zote Betri zake ni Non removable Karibu.
Namaanisha battery hizo mnazo ?Habari Bob!
Simu zetu zote Betri zake ni Non removable Karibu.
Hapo Safi mtu anajua bei anaamua kufanya maamuziHabari James!
Bei elekezi za Toleo la CAMON 19 ni kama ifuatavyo:
-CAMON 19: (128GB + 4GB) 430,000/=
-CAMON 19: (128GB + 6GB) 490,000/=
-CAMON 19 PRO: (128GB + 8GB) 650,000/=
-CAMON 19 PRO 5G: (128GB + 8GB) 780,000/=
Wasiliana nasi kupitia namba zetu 0744545254 au 0678035208