mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
- #101
5.0 mpaka sasa ndo ya mwishoMi cm yangu ni tecno c5 je naweza kuiupgrade kwenda kwenye android version nyingine ya juu zaidi kama vile kutoka 5.0 to 6.0?
5.0 mpaka sasa ndo ya mwishoMi cm yangu ni tecno c5 je naweza kuiupgrade kwenda kwenye android version nyingine ya juu zaidi kama vile kutoka 5.0 to 6.0?
Kwahiyo cwezi kuiupgrade... Ni kwa hii tecno tu au zote?5.0 mpaka sasa ndo ya mwisho
Am. Ot very sure about tecno boss i will check for youKwahiyo cwezi kuiupgrade... Ni kwa hii tecno tu au zote?
Ok waiting for u palAm. Ot very sure about tecno boss i will check for you
Sasa naeza ku unroot vipi simu yangu? Niliroot kwa kingroot haikufika mwisho lakini naambiwa the device is suspected to roooting process. Msaada tafadhaliKama umeroot ni another case na hapo ni kua careful sana maana unaeza kuend up bricking your phobe
Ni PM tafadhali tuongee zaidiSasa naeza ku unroot vipi simu yangu? Niliroot kwa kingroot haikufika mwisho lakini naambiwa the device is suspected to roooting process. Msaada tafadhali
Sawa mkuu. Sasa narestoreje custom rom?Mpaka sasa the only possible way ku unroot device ni kurestore custom rom. Alafu advice next time ukiwa unaroot tumia TWRP boot menu hii ni rare sana kucrush
Kuna detail nataka unitumie so ningependa ufanye ivo PM mambo kama screenshot, jina la rom ulioeka na vitu vingine kadhaaSawa mkuu. Sasa narestoreje custom rom?
Sorry kwa usumbufu kiongozi
Mkuu naku pm message inakataa kwenda. Ngoja nizidi kujaribuKuna detail nataka unitumie so ningependa ufanye ivo PM mambo kama screenshot, jina la rom ulioeka na vitu vingine kadhaa
0786371108 whats appMkuu naku pm message inakataa kwenda. Ngoja nizidi kujaribu
Nadhani ilo tushakava mkuu pitia utaonaNamba 5 plz hasara zake
Hahahaha tupo wengiHaya sasa nimefata maelekezo ya kuficha folder kwa ku-rename na kuweka alama ya dot (.) kwa nyuma...FAILI LIMEJIFICHA NA MIMI MWENYEWE SILIONI...NAFANYAJE ILI NILIONE?
Mkuu mbona sipati mrejeshoSoon nakupa mrejesho
kuflash vipi kua open kidogo mwana tukusaidiejaman anayejua namna ya kuflash techno y 4 anisaidiee tafadhari simu inasumbua sana jaman
Option alafu nenda show hidden files then delete zitafutikaVip nikitaka kuyatafuta hiden files nafanyaje au nikifungua file manager nayapata huko?
yaani ianze upya iwe kama nilivyoinunua maana inasumbua sanakuflash vipi kua open kidogo mwana tukusaidie
Simple lemmi tell youyaani ianze upya iwe kama nilivyoinunua maana inasumbua sana