mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
- #141
Sim gani unatumia??Wakuu msaada wa kufanya had rest kwenye simu yangu nimejalibu hiyo no. 10 imegoma
Sim gani unatumia??Wakuu msaada wa kufanya had rest kwenye simu yangu nimejalibu hiyo no. 10 imegoma
Nitakuuliza kama huyo jamaa uliemquote je umeinstall any launcher au market place kama mobile 9Mkuu mimi nina tatizo kwenye simu yangu nikiwa natumia internet huwa inajizima yenyewe data afu inajiwasha yenyewe badaye tatizo sijaelewa ni nn..???
Msaada tafadhali
Hapo sijakupata mkuu naomba ufafanuzi tafadhali haya mambo yanachanganya sana ....!!!Nitakuuliza kama huyo jamaa uliemquote je umeinstall any launcher au market place kama mobile 9
Natumia tecno c8 mkuuSim gani unatumia??
Sijaweka mkuuKunatheme yoyote labda umeeka (launcher) ama market place kama mobile 9??
Una shing ngapi bossNatumia tecno c8 mkuu
Buck up sim yako alafu izimeNatumia tecno c8 mkuu
Sio useme hamna jipya... Sema hujaona jipya ... Wenzio wanafaidi bob... Ungeleta yako mapya basi yakiwa kwenye mabox sealedHamna jipya hapo, Mbona husemi ndio OS pekee inayo tumia charge nyingi kuliko IOS, blackberry os(RIM) na Windows phone
Imekuja lakn inaandika kwa kichinaZima sim toa battery alafu rudisha.
Bonya vitufe hivi kwa pamoja "volume up na power button " vibonye mpaka uone setup screen imetokea.
Hii setup inaitwa recovery mode. Hapo utaona version nyingi kwa kutumia kitufe cha "volume down" shuka mpaka utapokuta "data wipe/factory reset".
Select kwa kutumia power on .
Baada ya hapo yua good to go.
Karibu
Kwa tricks simple kama hizi follow blog yangu www.techackonline.blogspot.com
PoleImekuja lakn inaandika kwa kichina