Zifuatazo ni android tricks ambazo labda hukua unazijua

Zifuatazo ni android tricks ambazo labda hukua unazijua

hiyo application ni ya whatsup mbili au nini mkuu!?
df9b6d7a825022f8c4a01caef9c07569.jpg

Use it with care
 
Simu yangu inagoma kurespond katikati ya kiooo na kuna muda inachezazheza na kufanza vitu yenyewe. hapo nikii-sleep na kuiamsha inaendelea kawaida. nimefanza reset lakini baadooo. Solar 5
 
thanks mkuu endelea kutupa mautundu tuzifurahie simu zetu wengine ni sms na kupiga basi ILA MSAADA HILI NINA TECNO C8 huwa inajizima muda mwingine nini tatizo na internal 16gb nimetumia 4gb tu sometimes inanigomea kutunza vitu kuna siku ika jirestore ikanifutia vitu vyangu vyote HAPA NINI TATIZO
 
Kuna wakati inakua over heated?
 
Ndiyo mkuu
Okay kwanza kabisa nilipo hapa sina io sim ila nifanye kuguess huenda nikawa sahihi...

CAMERA APP
1)fungua camera
2)nenda setting
3)nenda kwenye storage na chagua memory card

VOICE RECORDER APP
fungua voice recorder
Nenda settings >storage
Fungua default storage na ueke memory card

INTERNET APP

Fungua internet app
Press menu alafu settings
Fungua advanced alafu content settings
Tap default storage na ueke iwe sdcard
 
yeah hasa niki install du battery booster ina detect mpaka 42c na mara nyingi huzima sasa hivi nina battery doctor kidogo haijazima je ni software mbona nilikuwa c5 haikuwa na hili tatizo na nilikuwa nazitumia sana apps za du battery?
Itakua software au battery yako
 
Hilo swala la simu kupata joto nakuzima linatokea pia kwenye simu yangu. Lilianza baada ya kuinstall Android 5 (lolipop). Nimejaribu mara kadhaa ku reinstall Android nikidhani watakuwa wamerekebisha lakini wapi. Natumia Sony Experia Z ya mwanzo. Nimeroot simu kwa kutumia software na kujaribu ku uninstall pre-installed apps lakini wapi tatizo haliishi. Sijui kuna mwenye njia nyingine wakuu.

Pili, ningependa kujua ukiroot simu kama hii experia kwa uzooefu ni program zipi (pre-installed) naweza kuziondoa permanently bila kuathiri utendaji kazi wa simu?
Msaada wanajamvi.
 
Basically any unwanted app unaweza kutoa ila angali je ina umuhim?

Kuhusu sim kupata joto na kujaribu mbinu zote ikashindikana basi downgrade rudisha software iliokuja na sim ambayo kwako ilikua stable.
Hii iliwahi kunitokea na s5 yangu. Nilipoupdate kutoka 4.4.2 kwenda 5.0 ilikua inaheat sana loss of power na kucrush sana. Niliieka ndani almost two mont mpaka nikapata akili ya kudowngrade. Baada ya muda nilipata OTA UPDATE na kwanzia hapo sikupata tena io shida.
 
Asante Lilijustine, wazo la kudowngrade ni zuri niliwahi kufikiria. Lakini sikupenda kurudi nyuma nikadhani naweza kupata njia nyingine. Nilijaribu pia backup za nyuma lakini hazirudishi nyuma android version.

Nimeona kuna soft and hard reset ni ipi unapendekeza kurudisha nyuma
 
Back
Top Bottom