Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,377
- 4,847
Ndo hawa wanapanda miti?CHUI-LEOPARD
View attachment 435663
Ana umbo nene na lenye madoa ya mviringo ni mnyama anayewinda kimya kimya kwa kunyatia.
DUMA-CHEETER
Ni aina ya jamii ya paka, mwenye ngozi ya manjano inayoelekea kwenye rangi ya udongo iliyopambwa kwa madoa meusi. Ndiye mnyama anayekimbia kwa mwendo kasi zaidi kuliko wanyama wengine wote watembeao hukimbia kilometa 113 kwa saa.
View attachment 435664
TIGER-SIMBA MARARA
Huyu ni jamii ya Simba na sio chui kama wengi wazaniavyo, Anaitwa Simba marara kutokana na ile milia yake inavyoonekana na Ana nguvu na Speed kuliko Simba wa kawaida.
Ref:Manyara nationa park
