Zifahamu tofauti kati ya Chui na Duma

Zifahamu tofauti kati ya Chui na Duma

naomba nitakachokueleza ujue kuwa ndio kiko sahii na pili kujiridhisha zaidi ingia google pia uangalie kaka

[HASHTAG]#kunatofauti[/HASHTAG] kubwa Kati ya leopard (chui) na cheeter (duma)
lakini wote kwa pamoja wako kwenye kingdom animalia lakini huwa tunawaweka kwenye family tunayoiita cat's family ambayo pia utawakuta wanyama kama simba huko paka na Mbwa pia wote hawa wako family moja
Sasa tofauti zao ni kama zifuatazo
.Leopard (chui) ni mkubwa kwa umbo lakin Cheeter (duma) ni mdogo kwa umbo is very slender compare to leopard
.Cheeter(duma) anamstari unaoanzia jichoni mpaka puani na unarangi nyeusi ambao kitaalamu tunauita [HASHTAG]#tearmark[/HASHTAG] but leopard(chui) yeye huo mstari hana kabisa
.Leopard ukimuangalia mwishoni kwa mkia wake (at the top unarangi nyeusi but kwa cheeter mwishoni mwa mkia wake kuna rangi nyeupe tu
Leopard kichwa Chake ni kinene na cheeter kichwa Chake kiko very slender I mean kirefu
Leopard ni nocturnal animal ( i mean ni mnyama anaejitafutia chakula Chake mara nyingi usiku) lakini cheeter au duma ni diurnal animal (yeye ujitafutia chakula chake mara nyingi wakati wa mchana.
Leopard hana speed kali kama ya cheeter bse cheeter mifupa yake si mizito na iko tunasema immovable so inampelekea tu move so faster
Leopard anatumia mda wake mwingi wakati wa mchana kujistili Juu ya miti but Duma hanauo uwezo wa kupanda miti mda mwingi utamkuta Juu ya mawe au vichuguu virefu
Leopard madoa yake yako kama ya mduara we call it rosette like structure but Cheeter au duma madoa yake yako kama mstari

Tofauti kubwa Kati ya hao wanyama na Tiger ni hii Tiger a napatika barani Asia kwa wingi mfano kuna India kwa Africa hatuna tiger kabisa.
kwa msaada zaidi ni pm kijana ukiitaji kujifunza zaidi

#ni Mimi karuhanga na nimesomea maswala haya ya wanyama pori na nimtumishi pia wa maliasili
Asante sana kwa darasa zuri nimepata elimu ya kutosha kabisa....ubarikiwe
 
Na zaidi nlipata kusikia kuwa Duma anaanza kukimbia kachoka then anavyovidi kukimbia ndo anazid kugain speed ni kweli?
 
kiukweli me wananichanganya, bora ka cheeteh kamekaa tofauti kidgo kulinganisha na wenzake. hiv hakuna chui au jamii yake ambaye hana madodoa,
mnyama ambaye unaweza mtofautisha na chui na wanayerandana kidogo ni duma tu hakuna mwingine
 
Na zaidi nlipata kusikia kuwa Duma anaanza kukimbia kachoka then anavyovidi kukimbia ndo anazid kugain speed ni kweli?
si kweli speed anayoanza nayo duma ndiyo hiyo hiyo anayomalizia ndo mana maisha Yao yanakuwa ni miaka michache sana kutokana na nguvu nyingi wanazotumia kuwinda au kupata chakula chao
 
mnyama ambaye unaweza mtofautisha na chui na wanayerandana kidogo ni duma tu hakuna mwingine
nilikuwa sijalielewa swali lako vizuri wanyama hao WaPo pia wanafanana na chui kwa mfano chui mweusi anapatikana katika misitu ya amazon
 
vp kuhusu tiger n is it fact that nt found in tz wait ur reply so
ni kweli kabisa ndugu Tiger Tanzania hayupo kabisa na si Tanzania tu barani Afrika hatuna Tiger anapatikana Asia sana sana
 
ni kweli kabisa ndugu Tiger Tanzania hayupo kabisa na si Tanzania tu barani Afrika hatuna Tiger anapatikana Asia sana sana
ok kwayo leopard ndo unamwita chui nikadhan tiger ndo chui nakusu kiswahili cha jaguar nikadhan ndo duma bt im ok to b corrected anyway
 
Lions are the king of the plains. Tigers rule the jungle. But face to face, which would win?

Well, let’s talk size first. Tigers are heavier, weighing up to 800 pounds to the lion’s 550. But the two cats aren’t so different in size. Here, their profiles are superimposed:


You might remember from high school health class that muscle weighs more than fat, which helps explain the tiger’s extra pounds. So it seems that the tiger would have a physical advantage over the lion.

But it turns out that we have some historical data to add to this conjecture, too. In ancient Rome, the tiger-lion face-off wasn’t uncommon. In 1959, a reader asked the Spokesman-Review this question, and the paper, in turn, asked William Bridges, the curator of publications at the Bronx Zoo. He told them that “back in the day of the Roman Coliseum, the smart money usually backed the tiger.” While we don’t have any great descriptions of the outcomes, ancient paintings of the event usually showed the tiger winning. And in the late 1800′s, the Gaekwad of Baroda, an Indian ruler, arranged a fight between the two beasts. Before the fight began, those running the bettor set the odds at 1 to 37,000 that the tiger would win. It did, and the Gaekwad lost 37,000 rupees.

And in 2011, a tiger killed a lion with a single paw swipe in a run in at Ankara Zoo in Turkey. The tiger apparently found a gap in the fence, and made its way into the lion’s enclosure. When they met, the tiger severed the lion’s jugular vein in just one stroke. Craig Saffoe, a biologist at the Smithsonian Zoo, also generally favored the tiger, telling LiveScience, “What I’ve seen from tigers, they seem to be more aggressive; they go for the throat, go for the kill. Whereas the lions are more, ‘I will just pound you and play with you.’” (kwa msaada wa google).
 
Wakuu, hongereni kwa majukumu. Naomba nipate tofauti ya kimuonekano kati ya Cheetah(duma), Leopard(chui) na jaguar(kiswahili chake sikifahamu). Nawaona mara nyingi kwenye Tv lakini siwezi kuwatofautisha kimuonekano. Kwamba nikimuona nitafahamu vipi kuwa huyo ni cheetah, leopard au jaguar? Natanguliza shukrani kwa ufafanuzi utakaotolewa.
 
Back
Top Bottom