Zifahamu tofauti kati ya Chui na Duma

Zifahamu tofauti kati ya Chui na Duma

JAGUAR and COUGAR
Kushoto ni Cougar na Kulia ni Jaguar
Huyo Jaguar ni habari nyingine hao Tiger, Cheetah and Puma ni kama pets tu wa nyumbani
COUGAR.jpg
JAGUAR.jpg
 
Cheetah (duma) na Leopard (chui) pamoja na tofauti nyinginezo za kimuonekano pia wanatofautiana yale madoa (tizama kwa umakini hapa chini), kuna mwingine (species) anaitwa Jaguar!

Tizama kwa makini pia sura zao....zipo tofauti (sura ya chui inaelekea kama ya paka wa nyumbani zaidi kulikop ya Duma)
cheetah-leopard.jpg

(1) Duma (2) Chui

Scientific name (Duma: Acinonyx jubatus Chui: Panthera pardus)
Kingdom (Duma: Animalia Chui: Animalia)
Phylum (Duma: Chordata Chui: Chordata)
Class (Duma: Mammalia Chui: Mammalia)
Order (Duma: Carnivora Chui: Carnivora)
Family (Duma: Felidae Chui: Felidae)
Genus (Duma: Acinonyx Chui: Panthera)
Species (Duma:jubatus Chui: pardus)
 
Ningeomba kujulishwa tofauti ziliyopo kati ya wanyama hawa wawili;

CHUI NA DUMA.

NA JE HUYO DUMA NDO TIGER AU CHEETAH?

Au kuna tofauti nyingine tena kati ya Tiger na Cheetah?

Kwa msaada zaidi pia ningeomba kujulishwa Classification zao kuanzia;
Kingdom
Phylum
Class
Order
Family
Genus and
Species

Ntashukuru kwa msaada wenu.

Karibuni
naomba nitakachokueleza ujue kuwa ndio kiko sahii na pili kujiridhisha zaidi ingia google pia uangalie kaka

[HASHTAG]#kunatofauti[/HASHTAG] kubwa Kati ya leopard (chui) na cheeter (duma)
lakini wote kwa pamoja wako kwenye kingdom animalia lakini huwa tunawaweka kwenye family tunayoiita cat's family ambayo pia utawakuta wanyama kama simba huko paka na Mbwa pia wote hawa wako family moja
Sasa tofauti zao ni kama zifuatazo
.Leopard (chui) ni mkubwa kwa umbo lakin Cheeter (duma) ni mdogo kwa umbo is very slender compare to leopard
.Cheeter(duma) anamstari unaoanzia jichoni mpaka puani na unarangi nyeusi ambao kitaalamu tunauita [HASHTAG]#tearmark[/HASHTAG] but leopard(chui) yeye huo mstari hana kabisa
.Leopard ukimuangalia mwishoni kwa mkia wake (at the top unarangi nyeusi but kwa cheeter mwishoni mwa mkia wake kuna rangi nyeupe tu
Leopard kichwa Chake ni kinene na cheeter kichwa Chake kiko very slender I mean kirefu
Leopard ni nocturnal animal ( i mean ni mnyama anaejitafutia chakula Chake mara nyingi usiku) lakini cheeter au duma ni diurnal animal (yeye ujitafutia chakula chake mara nyingi wakati wa mchana.
Leopard hana speed kali kama ya cheeter bse cheeter mifupa yake si mizito na iko tunasema immovable so inampelekea tu move so faster
Leopard anatumia mda wake mwingi wakati wa mchana kujistili Juu ya miti but Duma hanauo uwezo wa kupanda miti mda mwingi utamkuta Juu ya mawe au vichuguu virefu
Leopard madoa yake yako kama ya mduara we call it rosette like structure but Cheeter au duma madoa yake yako kama mstari

Tofauti kubwa Kati ya hao wanyama na Tiger ni hii Tiger a napatika barani Asia kwa wingi mfano kuna India kwa Africa hatuna tiger kabisa.
kwa msaada zaidi ni pm kijana ukiitaji kujifunza zaidi

#ni Mimi karuhanga na nimesomea maswala haya ya wanyama pori na nimtumishi pia wa maliasili
 
Cheetah and leopard. Maana tiger nitofauti kabisa hadi misitari yake, lakini hawa wawili wanafanana almost kila kitu kasora cheetah mwembamba lakini leopard mkubwa kidogo

Pia cheetah anakimbia kuliko leopard
thanks for your mchango
 
Tofauti za haraka haraka ni:1.Chui ni mnene kuliko duma kwa umbo
2.Chui ana kichwa kipana kilichounganika sambamba na shingo yake wakati duma ana kichwa kidogo kinachoendana na shingo yake nyembamba
3.Chui ana nguvu kuliko duma
4.Chui hupandisha mzoga wake mtini na kula hukohuko wkt duma hula windo lake ardhini
5.chui ana mbio lakini duma ana mbio kuliko chui pia ndio mnyama wa ardhini mwenye mbio kuliko wote
6.Madoa ya chui ni makubwa wkt madoa ya duma ni madogo madogo
7.Duma ana michirizi myeusi inayoelekea chini kwenye macho yake wkt chui hana hiyo michirizi
8.Chui ana mkia mpana wkt duma ana mkia mwembamba na mrefu kuliko wa chui
9.Chui mwili wake mpana kuanzia kifuani mpaka kiunoni wkt duma ni mpana kifuani lkn kiuno ni chembamba!
10. Chui huwinda mnyama kwa kumnyemelea mpaka umbali mfupi ndo humkimbiza lkn duma anaweza kukimbiza windo lake tokea umbali mrefu na akafanikiwa kukamata.
de87b5b23df5d04dcab57e460b261f13.jpg
a121633eda252438a3d5e353635e1651.jpg
c3bce9eb11f94392ab735d3bba5fcfa3.jpg
f2f3f91616fb3f6e3f52cf341b0b2d58.jpg

Picha mbili za mwanzo ni duma na mbili za mwisho ni chui
6)
52de28f39719f2f935756713b612372d.jpg
c5f58ffdeafae4cccce0552fd9ac7fb5.jpg
Madoa ya Chui ni makubwa na mara nyingi hutengeneza umbo la aina ya mraba!
 
naomba nitakachokueleza ujue kuwa ndio kiko sahii na pili kujiridhisha zaidi ingia google pia uangalie kaka

[HASHTAG]#kunatofauti[/HASHTAG] kubwa Kati ya leopard (chui) na cheeter (duma)
lakini wote kwa pamoja wako kwenye kingdom animalia lakini huwa tunawaweka kwenye family tunayoiita cat's family ambayo pia utawakuta wanyama kama simba huko paka na Mbwa pia wote hawa wako family moja
Sasa tofauti zao ni kama zifuatazo
.Leopard (chui) ni mkubwa kwa umbo lakin Cheeter (duma) ni mdogo kwa umbo is very slender compare to leopard
.Cheeter(duma) anamstari unaoanzia jichoni mpaka puani na unarangi nyeusi ambao kitaalamu tunauita [HASHTAG]#tearmark[/HASHTAG] but leopard(chui) yeye huo mstari hana kabisa
.Leopard ukimuangalia mwishoni kwa mkia wake (at the top unarangi nyeusi but kwa cheeter mwishoni mwa mkia wake kuna rangi nyeupe tu
Leopard kichwa Chake ni kinene na cheeter kichwa Chake kiko very slender I mean kirefu
Leopard ni nocturnal animal ( i mean ni mnyama anaejitafutia chakula Chake mara nyingi usiku) lakini cheeter au duma ni diurnal animal (yeye ujitafutia chakula chake mara nyingi wakati wa mchana.
Leopard hana speed kali kama ya cheeter bse cheeter mifupa yake si mizito na iko tunasema immovable so inampelekea tu move so faster
Leopard anatumia mda wake mwingi wakati wa mchana kujistili Juu ya miti but Duma hanauo uwezo wa kupanda miti mda mwingi utamkuta Juu ya mawe au vichuguu virefu
Leopard madoa yake yako kama ya mduara we call it rosette like structure but Cheeter au duma madoa yake yako kama mstari

Tofauti kubwa Kati ya hao wanyama na Tiger ni hii Tiger a napatika barani Asia kwa wingi mfano kuna India kwa Africa hatuna tiger kabisa.
kwa msaada zaidi ni pm kijana ukiitaji kujifunza zaidi

#ni Mimi karuhanga na nimesomea maswala haya ya wanyama pori na nimtumishi pia wa maliasili
vp kuhusu tiger n is it fact that nt found in tz wait ur reply so
 
Tofauti za haraka haraka ni:1.Chui ni mnene kuliko duma kwa umbo
2.Chui ana kichwa kipana kilichounganika sambamba na shingo yake wakati duma ana kichwa kidogo kinachoendana na shingo yake nyembamba
3.Chui ana nguvu kuliko duma
4.Chui hupandisha mzoga wake mtini na kula hukohuko wkt duma hula windo lake ardhini
5.chui ana mbio lakini duma ana mbio kuliko chui pia ndio mnyama wa ardhini mwenye mbio kuliko wote
6.Madoa ya chui ni makubwa wkt madoa ya duma ni madogo madogo
7.Duma ana michirizi myeusi inayoelekea chini kwenye macho yake wkt chui hana hiyo michirizi
8.Chui ana mkia mpana wkt duma ana mkia mwembamba na mrefu kuliko wa chui
9.Chui mwili wake mpana kuanzia kifuani mpaka kiunoni wkt duma ni mpana kifuani lkn kiuno ni chembamba!
10. Chui huwinda mnyama kwa kumnyemelea mpaka umbali mfupi ndo humkimbiza lkn duma anaweza kukimbiza windo lake tokea umbali mrefu na akafanikiwa kukamata.
de87b5b23df5d04dcab57e460b261f13.jpg
a121633eda252438a3d5e353635e1651.jpg
c3bce9eb11f94392ab735d3bba5fcfa3.jpg
f2f3f91616fb3f6e3f52cf341b0b2d58.jpg

Picha mbili za mwanzo ni duma na mbili za mwisho ni chui
Hongera sana japo hapo kwenye Duma kwamba anaweza kumkimbiza anayemuwinda kwa umbali mrefu sina uhakika kama ni sawa

Pamoja kwamba ana speed kubwa ni lazima asogelee windo lake ,anapoanza kumkimbiza mnyama anatakiwa asizidishe mita 300 ,
Akizidisha moja kwanza anakuwa ame drain energy yote au ni rahisi kwa moyo kupasuka kutokana na ile shughuli pevu aliyomaliza

Ikitokea akakosa anachowinda baada ya kukimbia mara nyingi anatakiwa apumzike nusu saa ndio aweze kuwinda tena
 
Chui(leopard) kiumbo ni mkubwa zaidi kwa maana ya upana, ana nguvu zaidi ya duma, hupenda kufanya mawindo yake usiku(nocturnal) na ni hatari zaidi ya duma.
Kingdom-Animalia
Phylum-Chordata
Class-Mammalian
Order-Carnivore
Family-Felidae
Genus-Panthera
Species-Panthera Pardus

Duma(Cheetah)
Kiumbo ni mwembamba na mrefu zaidi ya chui kitu kinachomsaidia kukimbia kwa haraka zaidi, ana mistari mieusi kutoka katika macho yake mpaka kwenye pua, chui hana hupenda kuishi sehemu zilizo plane na zenye uwazi zaidi ili kuona windo lake kwa mbali pia huwinda mchana.
Kingdom-Animalia
Phylum-Chordata
Class-Mammalian
Order-Carnivore
Family-Felidae
Genus-Felis
Species-Felis Domesticus
 
Hongera sana japo hapo kwenye Duma kwamba anaweza kumkimbiza anayemuwinda kwa umbali mrefu sina uhakika kama ni sawa

Pamoja kwamba ana speed kubwa ni lazima asogelee windo lake ,anapoanza kumkimbiza mnyama anatakiwa asizidishe mita 300 ,
Akizidisha moja kwanza anakuwa ame drain energy yote au ni rahisi kwa moyo kupasuka kutokana na ile shughuli pevu aliyomaliza

Ikitokea akakosa anachowinda baada ya kukimbia mara nyingi anatakiwa apumzike nusu saa ndio aweze kuwinda tena
Ok!hapo nimelinganisha umbali ambao chui anaweza kuanza kukimbiza windo lake kuwa ni mfupi ukilinganisha na umbali ambao duma anaweza kuanza!mfano,kama chui anaanza kukimbiza mita20 basi duma anaweza kuanza kukimbiza hata mita50 na akakamata windo lake
 
Tiger-ndio paka mkubwa zaidi duniani.simba anafuta.hawapatikani sehemu kubwa duniani.

Simba-ndiye paka wa pili kwa ukubwa, anafahamika na tz yupo.

Leopard (chui)-ni mdogo kiumbo tofauti na hao juu ana madoa mwili mzima.huyu anaishi mapoli tulivu yenye vichaka vyenye miti iliyosambaza matawi.akiwinda kwa kuvizia, kama paka wa nyumbani kabisa.

Cheetah-huyu kiumbo wanakaribiana na chui, ni mwembamba mrefu, na madoa mwili wote akiwakilishwa na michirizi kama machozi kwenye mashavu yake, anakimbia kuliko wananyama wote wa ardhini huwinda kwa kukimbiza.ila ni mpole kuliko paka wengine.

Jaguar-huyu ni kama chui mweusi ana sifa kama za chui wa madoa tifauti ipo kwenye rangi kwa haraka.

Baada ya hapo kuna mapaka wengi tu kabla ya huyu wa nyumbani na baada yake.
 
kiukweli me wananichanganya, bora ka cheeteh kamekaa tofauti kidgo kulinganisha na wenzake. hiv hakuna chui au jamii yake ambaye hana madodoa,
 
Back
Top Bottom