Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa???
Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa
Kwenye video nimeelezea kwa uzuri na utaelewa vizuri
Usisahau kussuport hustle zangu
www.jamiiforums.com
Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa
- Kama nchi tutategeneze library kubwa itakayokuwa na chemical or compound zinazopatika kwenye nature na zinaposes unique features kama;- ENGULF, BINDING, BLOCKING, MARKING, MESSENGER, BRAKE, na TRANSPORT zinaweza tumika na binadamu na viumbe wengine bila kuleta madhara ili kuendana na rule ya pharmacodynamic na pharmacokinetics
- Mazoezi, tutafanyia mazoezi kwa kuzitengeneza hizi chemical ambazo ni potential novel therapeutics compound laboratory (man made) ili kama ikifanikiwa kuwa approval iwe rahis kuizalisha kwa wingi (mass production)
- Target pathogens or cells, hapa unafanya sequencing analysis interm of genomic, proteomics, transcriptiomics, mebalomics na epigenomics, na Magnetic force analysis.
- Magnetic force matching unatafuta target compound kwenye pathogens or cells ambayo zinaendana kwenye magnetic ili kumzuia na kumuua target pathogens au cells na chemical au compound kwenye library ambazo ita-match kutokana na lengo ulilokuwa nalo
- Pre clinical trials, ukifanikiwa kupata chemical au compound inayo-matching unaenda kwenye pre Clinical trials
- Clinical trials- ukifanikiwa kwenye pre Clinical trials unaenda kwenye cliinical trials kwa binadamu
- Àpproval- Clinical trials ikiwa na efficacy ya zaidi ya asilimia 41 unaweza apply kwa ajili ya approval ili iweze kuuzwa sokoni
Kwenye video nimeelezea kwa uzuri na utaelewa vizuri
Usisahau kussuport hustle zangu
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...