Zifahamu faida za barua pepe (emails)

Zifahamu faida za barua pepe (emails)

Mfano nimepoteza simu alafu vitu vyangu nimeviifadhi GOOGLE DRIVE nitafanyaje kuvipata pindi nikipata simu nyingine
Una "sign in" kwakutumia email yako ambayo ulitumia kwenye simu ya zamani, kila kitu utakikuta.
Pia unaweza kuwa na hiyo email moja kwenye simu zaidi ya mbili unachotakiwa kufanya ni ku "sync up" tu na utaweza kuona vitu vyako vyote kwenye hizo simu zako hata kama ziko mia moja.....
Hili swali nami huwa najiuliza lakini sijui majibu yake basi kwa wajuzi wa mambo naomba watusaidie.
 
Una "sign in" kwakutumia email yako ambayo ulitumia kwenye simu ya zamani, kila kitu utakikuta.
Pia unaweza kuwa na hiyo email moja kwenye simu zaidi ya mbili unachotakiwa kufanya ni ku "sync up" tu na utaweza kuona vitu vyako vyote kwenye hizo simu zako hata kama ziko mia moja.....
Ahsante
 
Kupoteza simu hakuna uhusiano NA google drive.Kwa simu yoyote au computer unatumia NA documents zako ziko salama.Cha msingi email yako unaijumbuka NA neno LA siri
 
Watu wengi hufungua email accounts kwa sababu maalumu. Moja ya sababu kubwa ya watu wengi kufungua emails kwa sasa ni pamoja na:

-Kuongezeka kwa maombi kwa njia ya mtandao (online applications) ambapo maombi mengi humtaka mwombaji ajaze account yake ya email

-Matumizi ya smartphones zinazotumia android technology ambapo kila mtumiaji wa simu hizo hutakiwa kuweka account ya gmail ili kumuwezesha kuingia play store.

Matumizi mengine ya msingi ya emails ni yapi?

Moja ya matumizi ya msingi ya emails accounts ni kuhifadhi vitu na nyaraka zako muhimu kwenye mtandao (ONLINE)

Kuna nyaraka zako muhimu ambazo ukihifadhi kwenye computer, memory card, flash disk au kwenye CD zinaweza kuibwa, kupotea au kuharibika na hatimaye usizipate tena. Nyaraka hizo ni pamoja na:

-Nyimbo zako za kipekee na uzipendazo (audios &videos

-Mkanda wako wa kuhitimu masomo (graduation)

-Mkanda wako wa harusi

-Picha zako muhimu na za kipekee

-Notice zako muhimu au vitabu (Soft copy)

Ni emails gani unaweza ukafungua na zinatoa online storage kiasi gani?

Kuna emails nyingi lakini zilizo rahisi kutumia kwa watanzania wengi ni hizi tatu; Gmail, Yahoo mail na Microsoft account.

(i) Gmail
Account hii inakupa Gigabytes kumi na tano (GB15) za kuhifadhi vitu vyako online

(ii) Yahoo mail
Account hii inakupa Terabyte moja yaani Gigabytes elfu moja (GB1000) za kuhifadhi vitu vyako online. Hii ni kupitia application yao ya flikr

(iii) Microsoft account
Account hii inakupa Gigabytes thelathini (GB30) za kuhifadhi vitu vyako online. Hii ni kupitia application yao ya "one drive"

Nakukaribisha sasa uanze kjihifadhia nyaraka na vitu vyako muhimu kupitia emails hizo ili kuepuka upotevu.
Na kama nna email umesahau kabisa password
 
Back
Top Bottom