Zifahamu aina 4 za ubaguzi duniani

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
336
677
Aina za ubaguzi duniani

Ubaguzi ni hali ya mtu au kikundi cha watu kujiona ni bora zaidi na kuwachukulia wengine kama daraja la chini au kutokustahili haki fulani fulani.

Kuna aina 4 za ubaguzi duniani kama zinavyofafanuliwa hapa chini:

  • Ubaguzi wa rangi. Mfano ni ule uliopo USA dhidi ya weusi.
  • Ubaguzi wa kikabila. Mfano ni ule uliopo Kenya.
  • Ubaguzi dhidi ya wahamiaji (xenophobia). Mfano ni ule wa Afrika Kusini dhidi ya watu wa mataifa mengine.
  • Ubaguzi wa kiitikadi. Mfano ni ule wa Tanzania ya Magufuli ambapo Rais alitangaza kuwa ole wake mtu ampige mwana CCM. (wengine kupigwa ruksa)
UBAGUZI NI UBAGUZI TU HAIJALISHIUMEFANYWA NA NANI.
 
Zipo aina zaidi ya nne,kuna ubaguzi wa kipato,dini, jinsia,nchi
 
Back
Top Bottom