Kwa muda sana kumekuwa na ziara nyingi mikoani kwa waziri mkuu mkuu.
Katika ziara hizo kaenda mara nyingi sana Arusha kuliko mahapa pengine popote . Na kila akienda lazima kuna mkutano na michango kibao ya pesa.
Najua mtasema anaenda kwao ni sawa lakini ni kweli safari ya mapumziko lazima kuwe na mikutano na yote inahusu kuchangisha mapesa? Lowasa nasikia anachangisha pesa hata kwa wahindi sirini .Lowasa nasikia yuko kwenye ule ule mkumbo wa kuvimaliza vyama ya Upinzani.
Akifika mikoani anawaita wapinzani na kuwaonya dhidi ya kuisema vibaya serikali yao yaani wanatumia ziara za Serikali kufanya kazi Chama pia .
Kubwa zaidi namuliza Lowasa pesa unazo kusanya na ziara kibao namna hii Arusha nataka kufanya nini ? Hebu mwenye habari zaidi juu ya mwenendo wa maziara ya wakubwa hawa na matamshi yao na vyombo vya habari kufa kabisa TZ atuoe nyeti hapa il nasi tufunguke .