Ziara za ACT - Wazalendo kutikisa nchi

Ziara za ACT - Wazalendo kutikisa nchi

Mwl. Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
216
Reaction score
214
Chama cha ACT-WAZALENDO ndicho chama ambacho kwa sasa ndio tegemeo la Watanzania kwa sasa.
Watu wanazidi kumiminika na kuchukua kadi za chama cha Wazalendo.
 

Attachments

  • IMG_20150331_094723.jpg
    IMG_20150331_094723.jpg
    218.7 KB · Views: 1,255
Ziara za chama cha ACT-WAZALENDO kutikisa nchi na watu wengi kutimkia chama cha ACT-WAZALENDO
 

Attachments

  • IMG_20150331_094955.jpg
    IMG_20150331_094955.jpg
    246.7 KB · Views: 927
  • IMG_20150331_094719.jpg
    IMG_20150331_094719.jpg
    258.4 KB · Views: 894
  • IMG_20150330_155849.jpg
    IMG_20150330_155849.jpg
    393.7 KB · Views: 953
Kijana, weka picha yenye nyomi inayoeleweka! Sio kuhangaikahangaika na tupichapicha tudogodogo!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huwezi ukawa na busara hata kidogo? Tafta hata watoto wadogo wakushauri, vibaraka mna kazi ngumu sana
 
Haya yetu macho wahenga walisema ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga tuwasubiri act na mbwembwe zao.
 
naona Act inatoka kuwa kijichama cha siasa mpaka kikundi cha maigizo
 
hivi nyie jamaa hamna forum nyingine zaidi ya jf huu nao ni udhaifu mkubwa .ACT itafanana na uzinduzi wake na viongozi wake haitafanana na jf
 
Kiongozi Mkuu wa Act Tanzania ameshauri hivyi

Kua ni wakati muafaka sasa kwa JWTZ kupeleka majeshi yake uko SOMALIA kupambana na ALSHABAB ili kuwatokomezea mbali hawa wahuni wa Alshabab...

Swali moja kaulizwa ivi Alshabab unawajua?
 
Back
Top Bottom