PakavuNateleza
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 1,106
- 1,297
Chama cha Ayatollah. Jamaa analoga balaa.Yaani kajimilikisha Chama Kikatiba halafu wapambe wake wanakata viuno vya maneno huku JF balaa
Vipofu kama wewe hawakosiumesema kutikisa nchi mpaka sasa mmetikisa nini naona hela ya media hamna tena na media sasa hazioni hata story ya kuwaweka kwenye page hata ya habari za mikoani hata kwenye kiu mlisema mnaanza na arusha imekuaje njooni tuu muone anna anaujua mziki ni mamluki toka kipind cha nassary alipokuja kwenye kura za maoni hasumbi kichwa Ziggo huku arusha ukisikia mbeya city ujue ni ACT Wasaliti
Chama cha ACT-WAZALENDO ndicho chama ambacho kwa sasa ndio tegemeo la Watanzania kwa sasa.
Watu wanazidi kumiminika na kuchukua kadi za chama cha Wazalendo.
​Ni kweli kiongozi, mana ACT ni ya wanakigoma
Wakisema CDM ni ya wachaga kwani wanachama wote wachaga..........we Katibu wamekuokoa wapi??? Ndo mana kwenye Mkutano tar 10 April pale Ruvuma Afande Sele atakuwa msemaji kati ya wasemaji wakuumie ni mwana ACT-WAZALENDO na wala sio wa kigoma.
DUNSTAN BUBERWA NTAMILYANGO.
KATIBU ACT-WAZALENDO,
MKOA WA KAGERA.
0759-829015.
Chama cha ACT-WAZALENDO ndicho chama ambacho kwa sasa ndio tegemeo la Watanzania kwa sasa.
Watu wanazidi kumiminika na kuchukua kadi za chama cha Wazalendo.
Chama cha ACT-WAZALENDO ndicho chama ambacho kwa sasa ndio tegemeo la Watanzania kwa sasa.
Watu wanazidi kumiminika na kuchukua kadi za chama cha Wazalendo.
Chama cha ACT-WAZALENDO ndicho chama ambacho kwa sasa ndio tegemeo la Watanzania kwa sasa.
Watu wanazidi kumiminika na kuchukua kadi za chama cha Wazalendo.
haa haa huo ukatibu ulichaguliwa ama?mie ni mwana ACT-WAZALENDO na wala sio wa kigoma.
DUNSTAN BUBERWA NTAMILYANGO.
KATIBU ACT-WAZALENDO,
MKOA WA KAGERA.
0759-829015.
Wakisema CDM ni ya wachaga kwani wanachama wote wachaga..........we Katibu wamekuokoa wapi??? Ndo mana kwenye Mkutano tar 10 April pale Ruvuma Afande Sele atakuwa msemaji kati ya wasemaji wakuu
View attachment 240975View attachment 240976
Tatizo letu Watz, historia inaonyesha bayana kuwa huwa hatujiamini na kukosa misimamo. Na udhaifu huo ndiyo utakao wapa CCM kutawala milele kama wajinadivyo. Labda niwaambie ukweli tu kuwa ACT irachukua miaka zaidi ya kumi chama la ukweli na hilo kitawezekana tu endapo wengi wetu tutaendelea kuwa mamburula wa kisiasa kama wengi walivyokumbilia kujiunga na ACT bila hata kukaa chini na kutafakari kwa makini chimbuko la ACT. Re think and take action! Tutadanganywa kitoto hivi mpaka lini? Kwa sasa hakuna chama kingine cha kutuvusha hapa tulipo zaidi ya CHADEMA kupitia UKAWA.
kuliko unavyompenda Ayatollah ??
Ha ha ha, chadema kupitia ukawa, so mmejificha kwenye kivuli cha ukawa. Sijui CUF , NCCR na NLD wanajionaje wakiona ubinafsi wenu huu.Tatizo letu Watz, historia inaonyesha bayana kuwa huwa hatujiamini na kukosa misimamo. Na udhaifu huo ndiyo utakao wapa CCM kutawala milele kama wajinadivyo. Labda niwaambie ukweli tu kuwa ACT irachukua miaka zaidi ya kumi chama la ukweli na hilo kitawezekana tu endapo wengi wetu tutaendelea kuwa mamburula wa kisiasa kama wengi walivyokumbilia kujiunga na ACT bila hata kukaa chini na kutafakari kwa makini chimbuko la ACT. Re think and take action! Tutadanganywa kitoto hivi mpaka lini? Kwa sasa hakuna chama kingine cha kutuvusha hapa tulipo zaidi ya CHADEMA kupitia UKAWA.
Kwa vile ni mkutano wao wa kwanza tangu chama kizinduliwe nilitegemea leo kusikia matangazo iwe redioni au mitandaoni lakini hadi sasa mwl. Kaijage yuko kimya au wameahirisha.