Ziara za ACT - Wazalendo kutikisa nchi

Ziara za ACT - Wazalendo kutikisa nchi

Hamkosi la kusema nyie tumeshawazoea... kwenye uzinduzi mmeshupaa kwanini chama kinajitangaza sana kwenye vyombo vya habari badala ya kufanya mikutano kwa wananchi, Juzi Zitto kakutana na Waandishi wa Habari mkamchongo kuwa ni chama cha kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Na leo wanaenda kufanya mkutano mnaibuka na kudai kwanini chama hakijajitangaza kuhusu mkutano huo.

Mnaloliongea leo silo mnaloliongea kesho na ikifika kesho kutwa mnakuja kusema kwanini hamjafanya kama juzi. Yaan hata hamueleweki mnataka nini mradi mpinge kila kitu kifanywacho na ACT.

Kitu pekee mnachonifurahisha ni kuwa wengi wenu mna vichwa ya panzi. Mnawahi kusahau jana mlisema nini, matokeo yenu mnaishi maisha ya kula matapishi yenu.

kichwa panzi ni wewe na viongozi wako act - walamba viatu vya ccm. Disgusting!!!!!
 
th

 
Kweli mijitu haijielewi bado inazunguka huko mikoani na pandikizi zito li pinzani la wapinzani mfyuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom