Me nadhani tuache siasa za kishabiki na tusimame ktk ukweli ambao wengi hawajui.Ili tuweze kujenga nchi ye2 k...wanza tukubaliane kwa pamoja juu ya nn kifanyike na nn kisifanyike,tuunganishe sera zetu na tufanye kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendeleo ya kweli kwa wa2 we2.2kipoteza muda kubishana nani mkweli na nani mwizi wakat tuliyafanya hayo wakati wa kampeni 2nakosea sana sababu kuna muda sahihi wa kufanyajambo sahihi,2sifanye jambo sahihi wakat usio sahihi,tunakosea sana....Siasa ze2 zimejaa fitina na uhasama ambao kimsingi hauna maslah ktk taifa.Mh.Zitto pamoja na yote ana haki kuzungumza kile anachodhani kinaleta maslah kwa nchi yake,leo ni mwanasiasa au chama gani kinaweza kuwa sawa 100% ktk sera na maamuzi yake....Tusiwe watu wa kukosoa 2 kama mashabiki wa mpira wakati tunapaswa kuwajibika ktk nafasi zetu kama wananchi....Kuna tatizo kubwa ktk katiba yetu coz it gives the president power of a dictator but we neva had one waziwazi.Tukumbuke mwisho wa yote wadau wakuu wa maendeleo ya taifa hili ni wananchi wake na si mtu mwingine na serikali ni mwamuzi wa mwisho 2 kwa nguvu ya umma(Supreme power of The People).Tusije fikia hatua ya kukodi viongozi nje kama tunavyofanya ktk mpira kwa sababu ya kukosa watu wenye nia ya kweli na upendo kwa wananchi.
Natoa RAI kwa viongozi wote na wana JF kuwa nchi haijengwi na maneno,fitina,majungu,wivu,kelele wala kuchafuana bali utendaji wenye tija kwa taifa na uongozi wenye kujali maslah ya watu kwanza.Na ikumbukwe kuwa viongozi wanatoka miongoni mwa wananchi wala SI MBINGUNI hivyo basi ni wajibu wa kila mmoja kutambua na kutekeleza wajibu wake katika nafasi alionayo iwe kubwa ama ndogo ili kuleta maendeleo ambayo pia tunapaswa kujua hayaji kwa haraka kama tunavyodhani........TUONDOKANE NA UBINAFSI NA KUWEKA MBELE MASLAHI YA TAIFA BILA KUJALI NANI YUPO MADARAKANI IWE ULIMCHAGUA AU HUKUMCHAGUA!
Arise, Julius Nyerere! Some of us will always do all in our power to ensure that your spirit will live longer. In this century we need neither spears nor guns. Baby Bush has a lot of B52s and countless assault missiles. But he learned some hard lessons in Iraq.