Ziara ya Trump huko Qatar ni kufuru!

Ziara ya Trump huko Qatar ni kufuru!

Inaweza kuja kutokea kwa maana naona nao wanachanga karata zao vizuri sana, lakini hata wakifanikiwa ni kama hawatoifaidi vizuri Marekani kwa maana utaona kwamba kitu kikubwa ambacho Trump anakipigania hivi sasa ni kuirudisha heshima ile ambayo walikua nayo duniani kote.

Lakini sasa hivi ni kama nguvu imepungua na kadri siku zinavyokwenda wanazidi kuonekana wa kawaida.
Interest za waarabu wa Gulf hazikinzani na West ndio maana unaona wanaendana. West wanapenda kutawala na kumiliki nyanya mbalimbali zinazo control Dunia, Waarabu they don't care kutawala wengine ila wanapenda kumiliki Biashara bila kujali ilipo. So Waarabu wanafanya biashara wana invest West, West wanawalinda Gulf.
 
Hayo mapokezi ni ya Trump ambae hawana undugu wala vinasaba vyovyote na yeye achiliq mbali kua Trump haupigi mwingi.

Vuta picha raisi kutoka mashariki ya mbali akienda huko, kwanza anaupiga mwingi pili huko ni nyumbani. Kwa wajomba zake. Sitaki kuimagine hayo mapokezi yake yatakavyoitikisa dunia na ulimwengu kwa ujumla.
 
Interest za waarabu wa Gulf hazikinzani na West ndio maana unaona wanaendana. West wanapenda kutawala na kumiliki nyanya mbalimbali zinazo control Dunia, Waarabu they don't care kutawala wengine ila wanapenda kumiliki Biashara bila kujali ilipo. So Waarabu wanafanya biashara wana invest West, West wanawalinda Gulf.
So ni win win situation...
 
Nyuzi nyingi za Nyani Ngabu zina dhihirisha kwamba, "Ni rahisi kumvua mtumwa minyololo aliofungwa nayo but is next to impossible ku uondoa utumwa ndani ya fikra za mtumwa yule"
Watu wa race tofauti na yake always anawaandika very +ve BUT hataki kabisa kuona mtu mweusi kama Traore kaandikwa +ve.
RIP Pieter Walter Botha, alisema ukweli kutuhusu
 
Wewe usiye mtumwa kwa nini huwezi kuandika bila kuingiza maneno ambayo si ya lugha yako?

Jingalie kundule lako kabla hujaanza kunyooshea vidole ya wengine.
 
Oh yeah. The Qataris knew their assignment.

Basi hapo Trump moyo wake umesuuzika sana.

Wako vizuri katika kumsoma mtu na kumwelewa alivyo.

Waarabu historically huwa ni very generous kwa wageni wao. Ukipata kualikwa kama mgeni katika nyumba za waarabu utakirimiwa sana ktk nyumba zao. It is a part of their culture.
 
Wewe usiye mtumwa kwa nini huwezi kuandika bila kuingiza maneno ambayo si ya lugha yako?

Jingalie kundule lako kabla hujaanza kunyooshea vidole ya wengine.
Daa, mkuu una mambo ya kishamba sana; kwamba kuandika kwa lugha ya watu wengine nao ni utumwa? So Wamarekani, Canada, Iceland, Australia, Ubelegiji, Newsland wote hao ni watumwq cause hawaongei lugha zao?
 
Waarabu kila siku wanaingiza mabilioni ya dola kwenye mauzo ya mafuta kwaiyo pesa kitu cha kawaida tu kwao
 
Daa, mkuu una mambo ya kishamba sana; kwamba kuandika kwa lugha ya watu wengine nao ni utumwa? So Wamarekani, Canada, Iceland, Australia, Ubelegiji, Newsland wote hao ni watumwq cause hawaongei lugha zao?
Hata wewe ni mshamba pia. Na siyo mshamba ttu. Ni fala pia.

Huna hata uwezo wa kuandika kwa lugha moja iliyonyooka.

“Cause hawaongei lugha zao” ndo nini?

Limbukeni mkubwa.
 
Hakuna nilichoongopa

Ndege bado hajapewa na hakuna uhakika kama atapewa.

Rais wa Marekani hapaswi kupokea zawadi kubwa kama hizo. Huu ni ukweli.
Ila Bwana Mkubwa mwenyewe ashasema, ni mjinga pekee ndiye ataweza kuikataa zawadi kama ile.
 
Hapo muarabu maneno yake machache tu...
President Trump is coming make it beautiful...
Watendaji washajua nini Cha kufanya...

Cc: Mahondaw
 
Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.

Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.

Ongezea na askari waliopanda ngamia.

Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.

Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure, hawa Qatar wana lao jambo.

Hawafanyi haya mambo yote bila kutegemea chochote toka kwa Trump!

View: https://youtu.be/OSgYXH3Ra7g?si=IEwoXt4e3aQiXGuE

Waarabu ni vichwa panzi sasa hapo wanapata nini
 
Inaonekana wana kikosi maalum cha kusoma saikolojia ya viongozi wa dunia kama Trump. Hii ni sehemu muhimu sana ya intelligence katika international economic espionage.
Waarabu, wachina na wahindi wanajua sana jinsi ya kuhandle viongozi corrupt; usishangae kuwa huenda hata wa kwetu huwa wanapewa heshima hizo za kilemba cha ukoka.
 
Waarabu, wachina na wahindi wanajua sana jinsi ya kuhandle viongozi corrupt; usishangae kuwa huenda hata wa kwetu huwa wanapewa heshima hizo za kilemba cha ukoka.
Wengine wanawekewa hela tu kimyakimya.

Trump anasema kuna lobbyists walitaka kumpa US dollar milioni tano akazikataa kwa kujua kuna kitu watamdai.

Unafikiri ukimpa Mama dola milioni tano za Kimarekani atakataa?

Shilingi bilioni 13 na nusu, azikatae?
 
Back
Top Bottom