gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 13,030
- 16,048
B-2s ni obsolete,dunia ishasonga sanaWamefanya homework yao vizuri sana.
Yaani hapo Trump anaweza hata akawapa zile B-52s bure kabisa.
B-2s ni obsolete,dunia ishasonga sanaWamefanya homework yao vizuri sana.
Yaani hapo Trump anaweza hata akawapa zile B-52s bure kabisa.
Israel ni agenda nyingine hiyo mkuu😂😂😂😂 hao watafanya vyote na Israel atabaki na heshima ile ile kwa hizo nchi.Wakiongeza na kufadhili wagombea marekani,mbona israel anabwagwa chapu
We mtu anajita Nyani unategemea vipi si ataruka ruka tu 🤣Umekubali kuwa anataka kupewa dege, tofauti na madai yako ya uwongo kuwa rais wa marekani hatakiwi kupokea zawadi toka nje!?
AIPAC, hakuna zaidiIsrael ni agenda nyingine hiyo mkuu😂😂😂😂 hao watafanya vyote na Israel atabaki na heshima ile ile kwa hizo nchi.
Hivyo ndio inatakiwa, hiyo ndio ile huitwa kunyenga huku mtaani kwetu, kwahiyo jamaa wameanza kumnyenga nyenga raisi wa Dunia kabla hawajaanza kuweka ajenda zao😂😂😂Wamefanya homework yao vizuri sana.
Yaani hapo Trump anaweza hata akawapa zile B-52s bure kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣We mtu anajita Nyani unategemea vipi si ataruka ruka tu 🤣
Hebu nipe elimu kidogo hapa hasa ukiangalia hizi nchi mbili.Kuna kuwa na uchumi mkubwa, halafu kuna kuwa na cash ya kutosha ndani..ikiwa una walau idea ya uchumi ni nini
Hii nayo ni moja ya mambo yanayofanya ile hoja yako ya utani ya mwanzo isiwe na nguvu, ofcoz ulirelate ya kwamba nao wakianza kufadhili wagombea but haiwezi kuwa rahisi kiasi hiko AIPAC nadhani imeshajihakikishia uwepo wa kudumu.AIPAC, hakuna zaidi
Uchumi ni uzalishaji mali kwa ujumla na mgawanyo wake, marekani ndiyo ana uzalishaji mali mkubwa kuliko waarabu,lakini pesa zipo miongoni mwa raia, ndiyo maana serikali ya marekani inadaiwa matrilioni ya dola,wakati waarabu Wana cash ndaniHebu nipe elimu kidogo hapa hasa ukiangalia hizi nchi mbili.
Maana Marekani wana uchumi mkubwa ila sidhani kama timu zake za mpira wa miguu zaweza shindano na Waarabu kwenye usajili wa wachezaji na matumizi ya fedha.
Well said. Kajirahisisha sana huyu mzee kuzururia vinchi vidogo kisa hongo ndogo ndogo. Hilo tumba la dege ambalo Qatar wanataka kumpa kama zawadi limeshazua mjadala huko Marekani.Limashaona China imemshinda linataka kuspin issues.
Hilo ni lirahisi HEWA kuwahi kutokea America.
Ni kweli mkuu maana yangu ni kuwa hao wa Qatar fahari kwao ni kama tamaduni.Hao wanamjua alivyo hivyo wanafanya kwa lengo la kumfurahisha na si kumwonyesha kuwa wana hela maana hela hata Marekani inazo. Ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
Kabisa mkuuukitaka kuona matumizi ya pesa hapa duniani ni sehemu mbili tu unaweza kuona,
1. UAE
2. Milan - Italy
Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.
Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure, hawa Qatar wana lao jambo.
Hawafanyi haya mambo yote bila kutegemea chochote toka kwa Trump!
View: https://youtu.be/OSgYXH3Ra7g?si=IEwoXt4e3aQiXGuE
AIPAC hufanya lobbying kwa ajili ya israel,na nguvu yao ni kuwafadhili wagombea wakati wa kampeni, JFK alitaka AIPAC ifutwe,wakamng'oaHii nayo ni moja ya mambo yanayofanya ile hoja yako ya utani ya mwanzo isiwe na nguvu, ofcoz ulirelate ya kwamba nao wakianza kufadhili wagombea but haiwezi kuwa rahisi kiasi hiko AIPAC nadhani imeshajihakikishia uwepo wa kudumu.
Wao wenyewe hutumia pesa kupitia rothschild na wanagenzi wengine (AIPAC), waarabu wameamua kucheza karata hiyohiyoQatar Wana buy influence kwa marekani naona Israel wamemind sana uhusiano unaondelea kwa sasa wa marekani na Qatar. Pesa ina nguvu sanaa
Al-Jazeera inamilikiwa na serikali ya Qatar.Qatar Wana buy influence kwa marekani naona Israel wamemind sana uhusiano unaondelea kwa sasa wa marekani na Qatar. Pesa ina nguvu sanaa