gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,491
- 18,027
Atasaini biashara ya $600+b, unafikiri anazurura bure,nipe nikupe hapoWell said. Kajirahisisha sana huyu mzee kuzururia vinchi vidogo kisa hongo ndogo ndogo. Hilo tumba la dege ambalo Qatar wanataka kumpa kama zawadi limeshazua mjadala huko Marekani.