NSHIMBA NG'OSHA
Member
- Oct 13, 2012
- 11
- 1
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
Hata mm nimemuona ila cjaelewa au ni mambo ya kiusalama
Inaoneka kawahi kumchapa hata mkeo na bakora yake maana hicho ndo anachokijua hii ya maendeleeo huwa anawapelekea waarabu sio hapa Arusha...So Ukome kabisaKweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote
Kweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote
ye aende tu msoga, arusha anafuata nn??
Mwanaasha amepatwa mafua ghafla, anaenda kumwona then atarudi kukifungua hicho chuoLeo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
Kweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote
sasa si atakuwa anapanda ndege kwenda Arusha, unashanga nini hapoooooo