Ziara ya Obama; Kenya wazidi kuitenga Tanzania, waishawishi Burundi kujiunga G4

Nani anakuanganya? Hata blue band unayotumia ni made in Kenya. Nitajie watanzania watatu tu wenye investment za maana Kenya
Maanake ni kwamba; hawatapata free market ya Blue band. Hivyo mapato yataongezeka. Na viwanda vya ndani vitaimarika na uwekezaji pia. Though haimaanishi hatuwahitaji wakenya, lakini nadhani wanatuhiji zaidi.


tragedy of the commons
 
Shilingi 1000 ya KENYA ni Shilingi 19200 ya Tanzania.wako mbali sana.Tatizo wezetu wana aina ya Viongozi wa kuiendeleza nchi yao sisi tuna Viongozi wanaoididimiza nchi yetu.ndiyo maana tunarasili mali nyingi kuliko wakenya lakini wakenya wanatumia vizuri kidogo chao,Ndiyo maana wanatuzidi.

Ndugu yangu kuna factors nyingi sana za kuangalia zaidi ya thamani ya shilingi, hata paundi ya mwingereza iko juu kuliko dola ya mmarekani lakini super power wa dunia anajulikana. Ni kweli wakenya wamatuzidi lakini siyo wa kuogopa kihivyo, tukijipanga tunawaweza. EAC ya kwanza ilivunjika wakati wa Mzee Kenyata sitashangaa kuona mwanae anaturudisha huko huko.
 
Hivi tukiwekeana Vikwazo vya kibiashara kati yetu na Wakenya nani ataathirika zaidi? maana huku kuzorota kwa mahusiano kumeanza kunitisha

Kiuchumi- Viwanda vingi vya Kenya vinategemea soko la letu ukilinganisha na viwanda vyetu kwenye soko lao( kumbuka mkenya akienda dukani akakuta bidhaa ya tanzania na ya kenya anachagua ya Kenya, kwa hiyo walishaanza kubagua bidhaa zetu siku nyingi)
Wakenya wengi wameajiliwa zaidi Tanzania kuliko watanzania walioajiliwa kenya. Kwa hiyo hatuna wasi wasi kwa sababu tutapata nafasi ya kudhibiti idadi yao hapa nchini na nafasi nyingi zinaweza kuchukuliwa na watanzania.
Katika sekta ya utalii wamenufaika sana na Mlima Kilimanjaro, nadhani tukiliangalia vizuri wataathilika katika hilo, kuna wakati hata baadhi ya watalii wanadanganywa kua Mt Kilimanjaro upo kenya.
 
Kuna mijaa haifikirii, hvi kwel unashabikia muungano kisa bkue band. Wakijitoa na blue band zao ndipo nasi tutajituma kutengeneza yetu. Ukitaka ujue mtoto amekua mtu mzima basi mwambie ajitegemee.
 
Kuna mijaa haifikirii, hvi kwel unashabikia muungano kisa bkue band. Wakijitoa na blue band zao ndipo nasi tutajituma kutengeneza yetu. Ukitaka ujue mtoto amekua mtu mzima basi mwambie ajitegemee.
Mimi natumia Jam ya karanga itengenezwayo Arusha, nilishasahau radha ya blue band kwani niliisha ipiga marufuku kuingia katika uzio wa nyumba yangu.
 
Mimi nimekaa na wakenya kwa muda mrefu sasa, kwa ukweli hawa jamaa wana roho kwatu, hawana upendo wala uvumilivu wa fikra zinapopingana. wanatuona watanzania kama watu wa kuburutwa tu yaani tusioweza kitu chochote. wanatudharau mpaka bhaasi, mimi nikiwa nao napenda napenda kuwa piga chata za mapaja wasichana wao ili kufidishia kwa wanavyotudharau, kiufupi hela ya kutanua ninayo japo kidogo na ndo hiyo inawavuta kwangu afu namaliza kazi!
 
Nani anakuanganya? Hata blue band unayotumia ni made in Kenya. Nitajie watanzania watatu tu wenye investment za maana Kenya
Wewe Mkenya nini! Akili zako za kushikiwa wewe. Wewe unaishi kwa blue band siyo! Mbona sisi tuna Tanbond, au waona cha kenya ndo mali sana! Mbulula wewe
 
Kwani tuna shida gani tuko milion 45 soko la ndani linajitoshereza sana ziada tutauza ulaya na asia achaneni nao.Tuwe wamoja kipindi hiki cha kutengeneza katiba tutoke na katiba bora kabisa afrika.Ujio wa OBAMA utakuwa umewatoa tongo tongo ndugu zetu ccm sasa wameelewa somo kuwa demokrasia siyo kushinga uchaguzi bali ni pamoja na kusikiliza sauti ziliazo nyikani na kufanya kazi na upinzani.

Watanzania tutengeneze katiba itakayozuia uporaji wa mali na tuwe na demokrasia ya kweli.Hawa wanaojitenga watarudi tu lakini nafasi ya kutuibia tutaiziba wasipate kitu, poor big 4 and 3

safi sana mkuu. patriotism mbele. sijaona cha maana wakenya wanachotuzidi.
 
wakenya wanatuhitaji zaidi, sisi ni soko lao kubwa. Hebu tuache kununua mavitu yao kwa wiki moja tu muone kitakachotokea!
Walie tu, Obama katudondokea, hata waseme nini watusikia na kutuona kwa mbaliiiiiii! na Kenyatta amesahau mara? anataka kumuiga nduli mnyamulenge mla watu?
Yetu macho.
 
tatizo diplomasia ni tofauti ya tunavyoandika humu. utashangaa jinsi tunavyowachukia wakenya lakin kikwete atakaa na hao wanaojiita G4 na kugonga nao glass. Sijui kwann naipenda sana SADC kuliko EAC.
EAC ilishakufaga kitambo na ukichangia alivyoingia yule kichwa kidogo macho makubwa basi vurugu zote za rwanda zitafika hadi mombasa au zanzibar.
Kikwete akomaze urafiki na congo kwenda hadi south watatutoa sana kuliko hawa War Mongers. Na uhuru aligoma kuja kwasababu obama angeondoka nae hadi the hague.

NASEMA HIVI UHURU KENYATTA AKIJA TANZANIA TUMKAMATE TUMPELEKE ICC HALAFU HAO G4 WAKAMTOE. NA URAFIKI UFE, EAC IFE, TUWAFUKUZE WOTE. BIDHAA ZAO MARUFUKU KUJA BONGO. AFU TUONE NANI ANAMUHITAJI MWENZIE.
 
Sasa si uhamie huko.whitedent ipo kiwi ipo na hatuwahitji tena kenya,we hama nchi wala hatuna haja nao kwani Kenya nnini
 
source?

naona wengi wamechangia hii habari bila hata kufahamu ukweli na uwongo wake

ebu tupe source,

Ziara ya Obama imezidisha uhasama wa chini chini hii ni baada ya viongozi wa Kenya , Uganda na Rwanda kukutana -Uganda kwa faragha .

Sababu zinazoonesha uhasani ni.
  • Raisi wa Kenya kugoma kuhudhulia mwaliko wa rais Kikwete kuhusu technologia na maendeleo
  • Tanzania kutotakiwa kuwasilisha kiongozi kipindi cha mkutano wa maraisi Uganda
  • Kejeli za vyombo vya habari kuhusu ziara ya Obama Tanzania
  • Rais Kenyatta kuanza kushaiwishi Burundi kujiunga na G3 ili iwe G4
 
wanajisikia mno hawa wakenya na wana wivu wa kike(msekwa)
wakafie mbele sisi tunajotosheleza na tunasimama
tukizuia mahindi yetu na sukari kwenda kwao watajifia mapema zaidi.
 
Hehehe! If only our leaders were smart enough hao g3 sijui wangetuabudu tu ndani ya the next 3 years!
Mnajua si bure marais wa India,China na Marekani wanatua hapa kwa vishindo! Tatizo ni je do we have the man power and intelligence to atleast equal the challenges and opportunities they give us?
Jibu ni HAPANA! Ufisadi utazidi,ubepari utazidi and the rich will get richer while the poor get poorer!


No we don't as viongozi wetu bado hawajuwi utawala bora ni nini, wao wanabahatisha tu kutwala nchi.
 
wakenya wana roho mbaya sana nimepata bahati ya kukutana nao katika mambo mengi kama masomo,michezo nilipokuwa chuoni huko kwao na nchini uganda na hapa nchini jamaa wanaroho mbaya na wakabila wakuu mkenya sio mwenzako najua kwa akina raila na wajaluo na ODM wamechukulia hii kama ushindi kwao ila kwa PNU ndio wanaweweseka alah


Wakenya hawafai kabisaaaa... ni was.he.enzi! wana ubaguzi, wanatuona Watanzania kama wajinga, wapumbavu na hatuwezi kufikiri lolote kwa vile wengi wetu hatujui kuzungumza Kiingereza kiufasaha. Wanatumia nafasi hiyo kutunyanyasa na kutunyonya kwa kuvuna pesa na mali toka kwetu kwenda kuwekeza kwao. Hivi sasa wanataka hata kumiliki ardhi. Wengine wameshanunua na maviwanja huko Mbezi Beach, wengine wamenunua majumba huko Mikocheni, Masaki, Boko. Jamani, hivi Mtanzania anaweza kwenda Kenya na kuruhusiwa kufanya wayafanyayo???? Tusipokuwa makini Watanzania tutajikuta tunatawaliwa na hawa wakenya waliokuja Tanzania kuvuna shamba la bibi. Kuna wengine wako kwenye taasisi mbalimbali hapa nchini.Hawataki kabisa kumaliza mikataba yao. watatumia kila mbinu ili wabaki hapa nchini ili waendelee kuvuna shamba la bibi. Yupo mmoja huyo yeye ni CEO wa sehemu fulani (kapuni) nasikia ni mnyanyasaji, ana majivuno nadharau kwa Watanzania, anatumia "divide and rule magement style", na ameweza kuwagawa wafanya kazi bila wao kujijua kumbe lengo lake ni kujilimbikizia mali na kuwekeza kwao kwa jasho la Watanzania. Mkenya sio mwenzako hata siku moja. Unapokuwa karibu nae jichunge mara mia mia.... ohooo!


Jamani Uhamiaji mko wapi?
 
Back
Top Bottom