anjo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2009
- 299
- 97
Nafikiri tunaenda mbali sana na ukweli. Nchi za EAC zina corridor 2: kaskazini na Kati. Kaskazini ni ile ya kutoka Mombasa, Kampala, Kigali na Bujumbura ilhali ya Kati ikitokea Dar, Rusumo Kigali na Dar, Ngara na Bujumbura.
Walipokutana nchini Uganda walijadili corridor ya Kaskazini na huko nyuma nchi za Rwanda, Burundi na Tanzania zimekutana Mara nyingi kujadili corridor ya Kati.
Nchi zisizokuwa na bandari zinataka njia mbadala na wana haki hiyo ndani ya EAC treaty. Tuangalie tusinyang'anywe soko tu!