INEC wana maagizo ya kumtangaza yeye na chama chake kushinda kwa 99%Kajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu kwenye uchaguzi fake?
Hana akiliKajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu kwenye uchaguzi fake?