uchaguzi huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaharakati ni kwamba, uchaguzi huru haiwezekani, maandamano mnauwawa - basi tafuteni njia mbadala ya kubadilisha uongozi nchini

    Mie nawashauri kwamba kesho msiandamane. Hakuna haja ya kukabili askari wauaji ambao wanaamriwa na watu wasio na akili timamu wa-shoot waandamanji hadi kuua. Mkiuwawa haimtaisaidia hii nchi na familia zenu zitabaki na shida sana. Sasa, baada ya kuona uchaguzi wa kidemokrasia haiwezekani hapa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kagame :" Rais wa Congo hakushinda uchaguzi huru" Kwa hii milio PK kashikwa pabaya na Félix Tshisekedi ?

    https://www.youtube.com/watch?v=oRSdtN4PaWI “Mnajua jinsi rais wa sasa alivyoingia madarakani? Aliitwa tu ofisini, na huyu mtu akadhani anafanya makubaliano mazuri, akaikabidhi mamlaka. Pia mnajua kwamba kulikuwa na mashahidi, marais wa nchi mbalimbali? Mnajua hilo? Mmoja wao akiwa rais wa...
  3. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huru na wazi

    Uchaguzi huru na wazi ni uti wa mgongo wa uhalali wa mamlaka katika taifa lolote linalojenga misingi ya haki, amani, na maendeleo endelevu. Taifa haliwezi kusema lina demokrasia ya kweli ikiwa wananchi wake hawana uhuru wa kutoa maamuzi yao kupitia kura bila hofu, bila shinikizo, na bila mashaka...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji uchaguzi huru au uchunguzi huru?

    Serikali imekuja na gea ya kutaka maridhiano. Je, tunaanzaje wakati walioumiza wenzao ndiyo wamejipa mamlaka ya kusamehe? Nani anamsamehe nani bila kujua nani alifanya nini na kwanini?
  6. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Tanzania inaweza kupata Amani bila Uchaguzi huru na wa haki?

    Utangulizi Amani ni matokeo ya haki, uwazi, na uhalali wa utawala. Taifa lolote linalotaka kudumu katika amani lazima lijenge misingi yake juu ya ridhaa ya wananchi, kuheshimu katiba, na kulinda misingi ya kidemokrasia. Tanzania, kama nchi yenye historia ndefu ya utulivu, sasa inakabiliwa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania UE Statement: Elections in Tanzania were neither free nor fair

    Elections in Tanzania were neither free nor fair October 30, 2025 In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights. “As Tanzanians went to the polls today, the...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Dkt. Slaa amethibitisha kuwa CHADEMA Haikufanya uchaguzi huru na wa haki

  9. A

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 wakati Chama Kikuu cha Upinzani Kimewekewa Vikwazo Mahakamani ni Uchaguzi Huru na wa Haki?

    Ikiwa uchaguzi ni kitu kikubwa katika Nchi na madhara yake yanaweza kuwa Mbaya Sana kama tukikosea, sasa tulisikia Mahakamani kwamba vitendo vya kuweka vikwazo Kwa Vyama vya upinzani Mwaka wa uchaguzi, sio jambo la haki. Je wahusika wapo tayari kupisha uchaguzi huru na wa haki
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaodai Uchaguzi huru Tanzania utawafanya wapinzani washinde, wanaongozwa na hisia za mihemuko badala ya vigezo vya kisayansi

    Hadi sasa kwa vigezo vyenye uhalisia Upinzani hauna nguvu, uwezo wala dalili za kuishinda CCM kwenye sanduku la kura labda wakubali kwa dhamira ya dhati kufanya mageuzi makubwa ndani ya vyama vyao. Vinginevyo CCM itasalia kuwa Mfalme wa nyika asiye na Mpinzani.
  11. 2070

    JamiiForums Tanzania EU yaisifu TANZANIA kuwa kielelezo cha amani na kuitakia uchaguzi huru na wa Haki

    Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki...
  12. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Nani anadhani Nchimbi ndo tumaini lililobaki?

    Kwenye nchi ni lazima kuwe na watu ambao hata sisi tukipotoka wote bado wao watabaki kuwa tumaini letu kwa mawazo, ushauri, miongozo na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya taifa siku zote hushinda maslahi binafsi hivyo hivyo tunatambua kipi ni sahihi kwa kufanyika kwa sasa...
  13. X factor

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya Rais Samia kuogopa uchaguzi huru na wa haki

    Ikiwa ni kweli wewe 👇 •Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la taifa ni T 107.7 na bado ni stahimilivu. •Umeleta 4R na umezitekeleza Kwa vitendo ukishirikiana na...
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huru na haki hauwezi kamwe kufanyika TFF ikiwa Karia atakuwa anagombea

    Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka. Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kanda ya ziwa ametuthibitishia kuwa hakuna uchaguzi huru tena

    Kajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu kwenye uchaguzi fake?
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tausi Likokola: Serikali iwajibike kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaoikosoa

    Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali. Sikiliza video yake hapo chini
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ndo kusema hawa wanaohama CHADEMA wenyewe hawataki kabisa kusikia kitu kinaitwa "uchaguzi huru, wa haki na kuheshimu kura?" Au kuna kitu nyuma yake?

    Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rais wa Bunge la Ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa Serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki

    Rais wa bunge la ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki. Bunge la ulaya limelaani mauwaji ya kiholela, ukamataji watu hovyo wasio na hatia unaofanywa na jeshi la polisi, matukio ya utakaji na uhalifu kwa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tutafanya kila tuwezalo kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa utulivu na amani ili kuwa na uchaguzi huru na wa haki

    "Ndugu wananchi mwaka wa sitini na moja wa muungano wetu umeangukia kwenye mwaka tunaokabiliwa na jambo kubwa la kidemokrasia nchini. Tutafanya uchaguzi wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, wabunge wa bunge la Jamhuri ya...
  20. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama madai ya uchaguzi huru na wa haki hayatekelezeki, tunafanya uchaguzi wa nini?

    Hatimaye Serikali imekiri kwamba madai ya kuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki hayawezekani kutokana na muda uliopo kufikia tarehe ya uchaguzi yaani Oktoba 25, 2025. Mbali na wadau wengine, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekuwa na madai ya kuwepo kwa mabadiliko ya mfumo wa...
Back
Top Bottom