Source mkuu?
Tanzania Daima ya leo ambayo imesomwa na vituo kadhaa vya TV na Redio
Source mkuu?
Duh! Tumevurugwa mpaka hatujielewi.hili picha nahisi hata Mzee Mwanakijiji limeshamchosha maana alijitoa sana kufichua ukweli ila sasa hata yeye kama amekata tamaa na hatua zinazochukuliwa juu yake.wananchi ndo kabisaaaa kizunguzungu wanachotaka umeme unapatikanaje na kwa faida gani?Tanzania Daima ya leo ambayo imesomwa na vituo kadhaa vya TV na Redio
Kwani anakuja lini? Tukumbuke there is no free launch from the US.
Duh! Tumevurugwa mpaka hatujielewi.hili picha nahisi hata Mzee Mwanakijiji limeshamchosha maana alijitoa sana kufichua ukweli ila sasa hata yeye kama amekata tamaa na hatua zinazochukuliwa juu yake.wananchi ndo kabisaaaa kizunguzungu wanachotaka umeme unapatikanaje na kwa faida gani?
Source mkuu?
mama anaingia na JK huyooooooooooooooooo mkutano wa Sadeki kusini??!! mama kukagua mitambo LE na AR saaaaaaaafi!!
Wajuaa wanatoa pesa nyingi sana kwenye bajeti na miradi mingine!!hilo ni onyo kwa JK na serikali yake kuacha ufisadi kwa faida maendeleo ya wananchi!!wameamua kutusaidia kuinunua iuze umeme bei ndg sana....ili Tanesco imudu kusambaza umeme pia mpango upo kununua iptl kumaliza ufisadi sekta ya nishati na madini!!! wameamua kutusaidia......tuna shida lakini wizi na tamaa umetujaa!!!RA na EL watalipwa chao waachane na mitambo ile!!!kumbuka walikopa kwa el adawi!!
Sosi ya nini hapo.....!
[TABLE="width: 879"]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE="width: 599"]
[TR]
[TD]Hillary Clinton kutua nchini
• KUTEMBELEA MITAMBO ILIYONUNULIWA KWA DOWANS
na Datus Boniface[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD="width: 140, bgcolor: #FFFFFF"][/TD]![]()
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 599"]
[TR]
[TD]WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Cliton, anatarajiwa kuwasili nchini leo katika ziara inayoelezwa kuwa ya kirafiki yenye lengo la kuendeleza uhusiano mzuri kwa nchi hizo mbili.[/TD]
Cliton atakuwa kiongozi wa tatu wa ngazi za juu nchini Marekani kutembelea Tanzania, wa kwanza akiwa Rais wa zamani Bill Clinton, mwaka 2000 na Rais George Bush aliyetembelea mwaka 2008.
Mbali na viongozi hao wakuu kutembelea hapa nchini, kitendo cha Rais Kikwete kuwa Rais wa kwanza wa Afrika kukutana na Rais wa nchi hiyo, Barack Obama, miezi michache baada ya kuchaguliwa kuliongoza taifa hilo kubwa kinaonyesha jinsi Tanzania ilivyo karibu na taifa hilo ambalo limejizolea maadui wengi kutokana na sera yake ya kupinga ugaidi.
Ujio wa waziri huyo, unaweza kusababisha baadhi ya shughuli kusimama kwenye maeneo ya jiji atakakopita na kutembelea.
Usalama katika jji la Dar es Salaam unategemewa kuimarishwa zaidi kama ilivyokuwa wakati wa ziara ya Rais Bush takriban miaka mitatu iliyopita.
Inaelezwa Clinton atakapokuwa nchini, ziara yake itaanza kwa kukutana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Waziri Mkuu wa Ireland, kuzungumzia mradi wa siku 1000 za lishe nchini.
Vivyo hivyo kesho atakuwa na ratiba kali ambapo ataongozana na Pinda kutembelea chama cha ushirika cha wakulima kilichoko Mlandizi, Kibaha, mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na ubalozi wa Marekani, Waziri Cliton siku hiyohiyo atapata fursa ya kutembelea mitambo ya kufua na kuzalisha umeme ya Symbion iliyoinunua toka katika kampuni iliyokuwa ikipigiwa kelele ya Dowans.
Kutembelea mitambo hiyo kunatokana na kampuni hiyo ya Symbion kutoka nchini Marekani, nchi ambayo pia msaada katika Mradi wa Changamoto za Milenia (MCC) unatokea.
Akiwa katika mitambo hiyo, Hillary Cliton atakutana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power LLC, Paul Hinks, na Ofisa Mkuu Mtendaji wa MCC, Daniel Yohannes.
Kwa mujibu wa ratiba hiyo, kiongozi huyo kesho hiyo hiyo atapata fursa ya kutembelea kituo cha afya cha wanawake kilichoko Buguruni, ambacho kinahusika na masuala ya virusi vya ukimwi na uzazi.
Waziri huyo atamaliza ziara yake ya siku hiyo kwa kukutana na Rais Jakaya Kikwete na kufanya naye mazungumzo ambapo pia watakuwa na mkutano wa pamoja na waandishi wa habari.
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
si rahisi hivyo mkuu hakuna mtu anakupa kitu cha bure dunia hiiinaonyesha syimbio company ni ya halali,hapo naona hatujapigwa changa la macho
Ukitaka kujuwa uhusuano wa safari ya Hilary Clinton na Symbion basi inabidi umjue chairman wa Symbion - Ambassador Joe Wilson. Huyu bwana ni former US Diplomat na niseme ni former State Department guru, lakini uguru wake uko kwenye ushushushu, tena elite. Both yeye na mke wake infact, na wamekuwa wanafanya kazi (kama balozi) kwenye nchi zenye 'madini'.
Joe analijuwa bara la Africa vilivyo na hasa nchi kama DRC! Huko nyuma nilipojaribu kuelezea ujio wa Symbion na madini na ushushu wa Joe Wilson kuna mwanaJF mmoja alisema ni blah blah, sasa Hilary Clinton anakuja kukagua mitambo! really? Mitambo yenyewe ni ya thamani gani mpaka Secretary of State aje all the way kuikaguwa? Jibu ni URANIUM. Na Joe ni mzuri sana wa kukusanya 'intelligensia ya Uranium.
Hata hivyo nasikia tutapata vyandarua vya mbu by August kwa hiyo tegemea press conference inayosema ni kwa jinsi gani malaria is the biggest killer.Mnakumbuka 'Malaria haikubaliki' campaign- halafu mwishoni wanasema - 'ujumbe huu umeletwa kwenye kwa hisani ya ....... na watu wa marekani'? halafu mara baada ya Obama kuingia ikulu, mkuu wetu wa kaya alikuwa ndio rais wa kwanza toka Africa kwenda kuonana naye (obama). Wametoka mbali na sisi na sasa hivi I can tell wametukamata vilivyo.