Tusijidanganye hao ndugu ulio wataja hapo kwenye red nchi yao 'inakimbia' katika maendeleo ya kiuchumi na wanajitosheleza katika budget yao ya serikali. Na kwa jinsi vijana wao wanavyofaidi kazi zenye kulipa hapa kwetu watakua wanafurahi na kutucheka tunapoendelea kuchekelea ziara na misaada kwakua wajinga ndio waliwao....na hao waliwao ndio sie.. kwa maana wanakuja (Wamerekani) kwetu na ajenda zao na sie hatujajipanga kuweza kujadili za kwetu na wao kwa kukusa umakini....du inauma sana hata nashindwa kuendelea kuundika 'ukatuni' tunaofanya kama nchi....Ndugu zetu wajaluo na wakikuyu wakisikia haya roho zitawauma maana mategemeo yao ni kuwa Jaluo alipochaguliwa basi viongozi wa US wataifanya Kenya kuwa Ireland of Africa.....
offcurse you cant see the impact kwa sababu pesa inaishia kwenye matumbo ya wakubwa , wewe unafikiri waingereza wajinga hadi wakatae kuirudishia serikali pesa ya BAE?anakuja kufanya nini, hawana impact ya maendeleo yoyote hao US, Alivyokuja bush akatangaza msaada wa mabilion sijaona impact yoyote sanasana tuligaiwa vyandarua vile vya bei rahisi VIGUMUU kama vya kuvulia samaki ndo mana wengi walivulia samaki na kutumia kuzuia kuku wasiingie kwenye bustani zao.
sanasana tulikaa barabarani masaaa megi tukisubiri wazee wapite..... braaaaaaaaaat siwataki waje kwenye nchi yetu hawana jipya, watumie balozi zao zinatosha
US raises concerns about wildlife impact of Tanzania's plans for trans-Serengeti road
By Matthew Lee, The Associated Press | The Canadian Press - 8 hours ago
WASHINGTON - The United States said Wednesday it has raised concerns with Tanzania's government about the impact of its plan to build a road through the Serengeti wildlife reserve, which environmentalists say could affect the famed wildebeest migration and threaten endangered species.
The top U.S. diplomat for Africa, Johnnie Carson, said he brought the matter up in meetings with top Tanzanian officials in late April and that Secretary of State Hillary Rodham Clinton could revisit the topic when she visits the country this month. Clinton is expected in Tanzania next week as part of a three-nation African tour focused on trade and development that will also include Zambia and Ethiopia.
"We are fully aware of the concerns that have been raised in this country and in other countries about the environmental impact that the trans-Serengeti road will have on the very large, spectacular and almost unique migration of animals from the Serengeti up to the game parks in Kenya," said Carson, the assistant secretary of state for African affairs.
He told reporters that Tanzanian officials, including President Jakaya Kikwete and his foreign minister were also "clearly aware" of concerns about the road and are trying to "address them in the most appropriate fashion."
"They know the value of the wildlife, the importance of the Serengeti, they have no desire to destroy that, but they are also looking for ways to stimulate economic development of parts of the country," Carson said. "We do discuss it with them. It is an issue that has been brought to our attention and we have, in fact, brought it to the attention of the Tanzanian government."
Environmentalists say the road will jeopardize the two million wildebeests and zebra who migrate in search for water from the southern Serengeti north into Kenya's adjacent Masai Mara reserve. The road, they warn, will lead to the downward spiral of an irreplaceable ecosystem.
Concerns about the road emerged earlier this year when an environmental impact study on the proposed road was leaked. The report found that the project "may impact the migration of the wildebeest and this would diminish the unique value of the Serengeti as a world heritage site."
The study also said that endangered black rhinos could be negatively affected. Conservationists say that road collisions and deaths will increase dramatically.
Kikwete says the road will spur development. He says it will not be paved and will not hurt the park or its famed wildlife.
Carson said that despite concerns about the road, Tanzania remains a solid partner and friend of the United States.
"Tanzania is a model development partner. It is a strong multiparty democratic state. It is one of our strongest partners in the development field and we are pleased to be going there," he said of Clinton's upcoming visit. "This is a friend of the United States and a stable partner."
The road is part of a planned 260-mile (420-kilometre) route between Arusha, near Mount Kilimanjaro, and Musoma, on Lake Victoria. Tanzania says the road is needed to connect the country's west with commercial activity on the eastern coast.
source:
US raises concerns about wildlife impact of Tanzania's plans for trans-Serengeti road
maswali yangu:
1.hii safari ina manufaa gani?
2.Vipi kuhusu ujenzi wa barabara ya serengeti.bado viongozi wetu hawataki kuelewa athari zake tu.
--hapo kwenye red ukitanga kumuibia mjinga msifie kwanza , mjaze ujinga kwanza ajae
Anakuja kufanya nini?

Jamani kuna watu wanachangia hoja kiujinga ujinga tu,toa maoni yako ukiangalia jamii inayokuzunguka,siyo kwa sababu wewe unamaisha ya kifisidi ndo ujisahau,kumbuka bara2 ya serengeti ni ya Watanzania wote si ya Kikwete wala Viongozi wake, na Watanzania ambao wamepinga isijengwe ujue pia sio wajinga na wanasababu za msingi kwa manufaa ya Taifa,wao wanachony'any'ania ijengwe kwani kuna nini wanachokitafuta huko mbugani?kwani nchi yao?kama viongozi wanashindwa kusimamia rasili mali za Taifa ni wa nini sasa?Halafu wajinga wachache wanafurahia mfumo uliopo ukiuliza eti kwa sababu na wao wanapata chochote kutoka kwa dhulumati hao.Hebu Muogopeni Mungu
Source mkuu?Haya wana JF ,Inasemekana kwamba Bibi Cliton,Hillary anatembelea Tanzania lakini moja ya malengo ya safari yake ni kuja kukagua mitambo iliyonunuliwa na Symbion kutoka Dowans.Swali langu hapa ndugu wana JF ni kwanini huyu mama aje kuikaguwa hii mitambo? anauhusiano gani na hii symbion power iliyo ingia mkataba na Tanesco?kuna kitu hapa wana JF,hebu tuliangalie ki undani zaidinachelea kusema kuwa hata huu mkataba tulioingia na symbion power kwa halaka halaka ni kwa kulazimishwa na hawa wakulu wa dunia,ni mtazamo wangu tu na maoni yangu,karibuni