Ziara ya Dk Slaa Unguja yadoda mno

Ziara ya Dk Slaa Unguja yadoda mno

Status
Not open for further replies.
Siku zote shetani akiwa anatafuta wafuasi wake hujivisha umbo la binaadam ili afanikishe jambo lake. Siwezi kumshangaa padri slaa kwa hicho kikofia chake
 
Dr slaa aende kwenye kazi anayoijua ya kuiba wake za watu. Siasa haiwezi jamani si mwambieni ukweli tu.
 
Dr slaa aende kuiba wake za watu badala kupoteza muda kwenye siasa. Hapo nitamuunga mkono
 
Kweli kamanda hao ni tosha kwa chama chetu CHADEMA, ukizingatia kwamba Dr Slaa anajua fika na Watanganyika wanajua kabisa wana hitaji nini kwa sasa, CCM nyie endeleeni na uhuni wenu na biashara za madawa ya kulevya maaana mwisho wenu umefika daima ccm mtakuwa watu wa kupuzwa.
SHAME UPON THEM ALL CCM MEMBERS AND THEIR CROOKED LEADERS.
Kitila Mkumbo;7210261]Kwa Zanzibar hao wtu ni wengi sana na wanatosha kabisa.[/QUOTE]
 





807915.jpg


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Zanzibar katika mkutano wa kuomba udhamini wa fomu ya Uraisi katika Mkutano uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti mjini Zanzibar tarehe 8/8/2010!

2082989.jpg


Baadhi ya Wananchi waliofika kiwanjani wakimsikiliza Dk. Slaa.


Source: Blog Archives - wavuti.com

chama, hizi ni picha za mkutano wa kampeni uliofanyika mwaka 2010 mwezi wa nane...sasa hapa kuna mtihani; limau kaleta jamvini picha za uongo na misukule ya CCM kama chama inatoa nakala kwa Ritz! Nadhani kabla ya kuendelea zaidi kuna umuhimu wa kutunza heshima ya huu ukumbi wetu tunakoshindia baada ya kuhangaika juani. Swali kwa mods; hali hii ya kuzusha mambo imekuwa ikiongezeka kwa kasi ya ajabu na nyie mmeamua kulifumbia macho, je kulikoni? Hili Chungwa, samahani limau lipewe haki yake na misukule nayo ipewe onyo kali...upuuzi/ujinga katu usipewe nafasi jamvini, ni hilo tu...

cc: Kitila Mkumbo, limau, chama/Ritz, ZeMarcopolo
cc: Moderator , Invisible, Paw


Mag3

Kamanda upo msekule leo umeibukia wapi? Au ndio umerambishwa sembe ndio akili zimekurudia? sasa hebu tueleze ubaya upo wapi wa kutuma nakala kwa mkuu Ritz? Au yeye hapashwi kusoma habari za Chadema? wewe ungemlaumu limau kwa kutoa habari ambayo sio sahihi vinginevyo nilichofanya ni kupeana habari ambazo zipo jukwaani na sikuona ubaya kwa mkuu Ritz kuzitupia macho; Hebu tuwekee picha sahihi ambazo Molemo kakutumia!
 
Last edited by a moderator:
hivi wazanzibar jumla yao ni wangapi??
Mwakilishi wa baraza la wawakilishi huchguliwa na jumla ya wapiga kura wangapi??
Ngoja nobrowse sensa ya 2012; kulikuwa na malalamiko kuhusu uwiano wa uwakilishi kati ya majimbo ya bara na ya zanzibar huku ikionekana mbunge wa bara huchaguliwa kwa kura hadi 3m huku kule zanzibar akichaguliwa kwa kiwango kidogo hadi laki moja kitu ambacho kinaleta maana ukiona uchache wa waliohudhuria mkutano wa dr. Slaa.
Mwakili au mbunge kwa zanzibar yaweza kuwa sawa na diwani interms of kura na idadi ya wapiga kura,ndio maana hapa kuna watu wachache.

Zanzibar ukipata kura 5000 tayari mbunge!
 
Mkuu chama,

Wakati mwingine inabidi mtu ushangae tu Chadema na Zenji wapi na wapi.

Dr. Slaa kavaa baraghashia ili iweje.

Babu ni mtu wa kulazimisha hebu muangalie kwa undani ni kitu gani katika maisha yake hajalazimisha?
 
Siku zote ukiandika huku umehamaki akili inahama, hebu tulizana kunywa fundo tatu za maji ya uvuguvugu kila rudi ukumbini tujadiliane, poleni sana kamanda.
Ritz, mtu uliyejaa fitna, hila na uzandiki unawezaje kujadiliana?
 
Siku zote shetani akiwa anatafuta wafuasi wake hujivisha umbo la binaadam ili afanikishe jambo lake. Siwezi kumshangaa padri slaa kwa hicho kikofia chake
kwa nini umshangae? Kwani haruhusiwi kuvaa hicho kikofia? Kweli ubinadamu kazi!
 
Watanzania wengi bado wanayo imani kubwa na ccm.
 
Atarudi kama alivyokwenda kama alishindwa upadri hizi kazi zingine ataweza wapi.
 
Mzee slaa kaaibika mpaka basi anadhani uongo wake hufanya kazi kila sehemu.
 
Wana jf.
Ni ukweli uliobayana kuwa katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo mwishoni mwa wikii hili alifanya mikutano ya hadhara kisiwani zanzibar ambapo mikutano yake ilipata watu wasiozidi 300,

Hali hii ilifanya watu wengi kuhoji na kujiuliza ni kweli slaa amechuja kiasi hicho au zanzibar hakubariki kabisa pengine kutokana na aina ya siasa zake labda zanzibar hazina nafasi,

Kitu kbaya na chaaibu kwa slaa hakufanikiwa kupata mwanachama mpya wa kujiunga na chadema kama ilivyo kwenye maeneo mengine hii ni sawa na kurudi kama alivyokwenda.

Wakuu hali kama hii inatoa picha gani kwa mzee wetu slaa ndiyo basi kisiasa au zanzibar siyo mahala pake pengine asijisumbue kwenda?.
 
kwa uwiano wa idadi ya watu Zanzibar, hao ni wengi sana. Mnategemea ajaze watu kama bara wakati mkoa wenyewe wa Zanzibar una wakazi wachache?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom