Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 270
wasalimie hapo mwembe mimba na kwa mtogore
mimi najua kuwa Limau huwa linikamuliwa. je na wewe unakamuliwa?
,
hivi bila kuvaa baragashia hasikilizwi mtu huko Zanzibar au ni ulaghai wa wanasiasa?
Ilikuwa na watu wachache sana.
haikuwa na shamra shamra na watu wengi hawakuhamasika
baadhi ya wananchi wa zanzibar wakimsikiliza dk slaa
Kwa Zanzibar hao watu ni wengi sana na wanatosha kabisa.
,
hivi bila kuvaa baragashia hasikilizwi mtu huko Zanzibar au ni ulaghai wa wanasiasa?