Ziara na Mapokezi ya Mama Salma, anastahili?

Nionavyo mie kumpa mama huyu mapokezi na heshima zote hizo ni si sahihi,yeye ni nani?, tulimchagua mume wake na wala sio yeye sasa hili la kupewa heshima kama mungu mtu linatoka wapi, nae eti anatuweka barabarani kwenye foleni kumsubiri apite jamani nchi hii maskini hivi badala ya watu kuwahi kwenye vibarua vyao tunapotezewa muda kusubiri eti "first lady apite", first lady wa nani?, kila mtu ana first lady wake nyumbani yule ambae walikula kiapo cha "kwa shida na raha", nashangaa sana ingawaje ni utaratibu kwenye nchi nyingi kuwaheshimu wamama hawa lakini hiyo haitunyimi nafasi ya kutafakari uhalali wa cheo hiki na benefits zake, unaweza kujiuliza kwanini alipwe, kwanini safari zake zigharamiwe na kodi za wavuja jasho, wakati hakuna sheria inayoestablish hiki cheo wala kumfanya mwenye cheo hiki kuwa mmoja wa viongozi wa nchi hii..sisi tuliwachagua Rais na Makamu wa Rais, mbona Bi. Mwanamwema Shein yeye hapati privileges kama hizi?
 
Huyu mama kapitia dharuba nyingi wakati mumewe hajingia Ikulu! katika kipindi hicho cha nyuma hakuna mahala ambapo alishawahi kuonekana namumewe iwe kwenye sherehe au msiba!
Bada ya jamaa kupitishwa kugombea urais kwa tiketi ya Chama Tawala watu wakamfumbua macho wakamwambia ajitokeze hadharani ajulikane vinginevyo jama angeweza kuoa tena chap chap kama dini yetu inavyoruhusu na huyo mpya akawa first lady!
Baada ya kuingia Ikulu tumeshuhudia mama yetu akilipiza vyote alivyokuwa amevikosa kwa muda mrefu! Angalia Vitenge vya wax, kilemba na mtandio begani visivyomtoka mwilini utadhani hakuna mavazi mengine duniani!
Kama kawaida ya jamaa zetu wa pwani, mama shughuli hazimwishi kila kuapokucha! Sasa hivi naye ana motorcade yenye msururu wa magari! Majuzi alisababisha mtafaruku maeneo ya Tegeta Kibaoni ambapo kama kawaida yake na mumewe wanapokuwa wanatarajia kupita, basi magari yatazuiwa masaa mawili kabla! Walalahoi walizuiwa pande zote mbili za barabara( kutoka Mjini na kwenda mjini ) kwa takriba masaa mawili eti First lady anarudi toka Bagamoyo! Mida ilikuwa ni saa !! ambapo walala hoi ndio wanarudi kujipumzikia baada ya kuwatumikia wakubwa wenye nchi!
Hivi kunahaja ya huyu mama kuzurura kila siku? mbona hatumwoni Michele akizurura ovyo?
Hizi ghararama zote anazotumia kwanini tusipele Temeke Hospitali ambako wamama wajawazito wanalala kwa kusongamana au Kigoma ambako mpa leo takribani miaka 50 ya uhuru watoto wanasomea chini ya mti!
Hii aibu yote bado tunitikia ile Chorus yetu " UTULIVU NA AMANI'
 
eeeh hii kubwa kuliko ndo naisikia hapa
 
Back
Top Bottom