Zeutamu haifanyi kazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zeutamu haifanyi kazi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kichuguu, Aug 25, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Aug 25, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa napitia kule kwenye makabrasha nikafungua zeutamu-dot-com, lakini ikanikatalia. Nikajaribu tena na tena bila mafanikio, je kulikoni? wamebadili jina?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,435
  Trophy Points: 280
  ndio wana linki nyingine sa ivi)))huko wanasiasa kibao wameshaumbuluwa nikupe linki???
   
 3. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ipi hiyo?
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe lol [​IMG]
   
 5. K

  Kamjuge Member

  #5
  Aug 25, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haloo?

  Kabla sijakuwa mwanachama wa JF nilikua na bado naheshimu mchango wao na sasa wetu katika kulisongesha gurudumu hili, najua kwa pamoja mimi na ninyi tunaweza kutengeneza historia na kujijengea heshima katika jamii iliyopo, inayochipukia na itakayokuja baadae. Nasema ahsante kwa niaba yetu sote.

  Lakini kuna watu inawezekana ni utoto, pia ikawa ignorance, au saa zingine ikawa kutokuweza kutumia akili zao vizuri na kujikuta wanatumia jamvi kujadili utu.......

  Guys what wrong with you?

  Kichuguu, Nyani, Kibongoto.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...