The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
tatizo hamjaelewa, issue sio nani anaupeo kuliko mwenzake au nani anatumia busara kuliko mwenzake, topic inasema NANI ANAVIJINENO KULIKO MWENZAKE, hebu eleweni topic
Mnakosea sana mnapolinganisha watu katika nyakati tofauti...jiulize kwanza wakati unamsikia Zembwela je Mpoki hakuwepo???
Usiseme Messi anamzidi Zidane sababu kisa unamuona Mesi kila siku kwa wakati huu.
Hawa wanazidiana umri tu lakini umri wao kwenye game la kitaifa (umaarufu) ni sawa sema Mpoki umri bado unamruhusu kuzidi kukimbiza!
semeni yote, zembwela na mpoki kifo na usikizi! Zembwela anaufaham na uelewa mkubwa sana wa mbambo,isitoshe anaonekana anasoma na kujifunza vitu mbalimbali,nilimsikiliza juzi kwenye kipindi cha mkasi mshikaji yupo nondo mbaya,tokanimekuwa nikiangalia kipindi hiki zembwela alikuwa juu kwa 100% ubora,uchambuzi na kujenga hoja.hakuna cha lage wala nani kijana yupo juu.sipati picha akipatamwanya wa kuingia katka siasa.refer mikasi by salama.