<br />Tuacheni kutetea upumbavu.......ivi nyie mnaakili sawa sawa kweli kusapoti ujinga anaouufanya sugu....mtu ameingia studio kurekodi albam ya matusi...hii inaonesha hana busara mbele ya jamii...ni muhuni...afu anajitokeza mtu anakemea nyie mnampinga...ebu kueni wakubwa bac
<br />Kwa hiyo ni sahihi kwa Sugu kutukana, kwa kuwa mafisadi wanaiba? Na wewe unaingia kwenye hili giza?
Zembwela, najua uko eastafricaradio, una mchango mzuri kwa jamii ya kibongo, unapinga maovu mengi e.g. umeme, maji, ufisadi n.k. Sasa hapa unapoenda kwa sugu utapoteza umaarufu wako, sugu bado anakubalika ktk jamii ya kibongo.
kwani matusi yote ambayo mtu anatukana lazima ayatunge? matusi si yapo tu, kwanini apoteze muda kwa kutunga wakati yapo matusi ready-made? ukitaka kuthibitisha tuombe mods waruhusu watu wakutukane uone kama hujaporomoshewa mvua ya matusi na mengine hujawahi kusikia lakini yapo toka zamani! wabunge wanapata nafasi mpaka ya 'kufanya matusi' na wake zao sembuse kutukana!? ina maana waache kujigjig kisa majimboni kwao kuna matatizo mengi!Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.
kwani matusi yote ambayo mtu anatukana lazima ayatunge? matusi si yapo tu, kwanini apoteze muda kwa kutunga wakati yapo matusi ready-made? ukitaka kuthibitisha tuombe mods waruhusu watu wakutukane uone kama hujaporomoshewa mvua ya matusi na mengine hujawahi kusikia lakini yapo toka zamani! wabunge wanapata nafasi mpaka ya 'kufanya matusi' na wake zao sembuse kutukana!? ina maana waache kujigjig kisa majimboni kwao kuna matatizo mengi!
zembwela ndo nani huyo wakuu?....
Mi sisemi maana hata antivirus volume one siijui. Kwani we Zembwela ulipata wapi mda wa kuisikiliza Antivirus, inamana unamkubali sana SUGU.
Keep it up Sugu
nimesikiliza huo wimbo na inabidi tufikie wakati tuache ushabiki usio na msingi. hivi kuna pointi gani zilizoimbwa humo zaidi ya mashudu matupu ya kutembea na gun, Nig**r words, kupelekana jando na pumba kede wa kede. Home of great thinkers right??Hebu sikiliza hili mbupu we dogo halafu useme matusi yako wapi hapo? View attachment 37318
Mi sisemi maana hata antivirus volume one siijui. Kwani we Zembwela ulipata wapi mda wa kuisikiliza Antivirus, inamana unamkubali sana SUGU.
Keep it up Sugu