Zelensky atembelea Kherson

Zelensky atembelea Kherson

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dmytro Peskov considers Kherson as the territory of Russia.

"We leave it without comment. You know that this is the territory of the Russian Federation," — Peskov says.
 
Tulikua tunaaminishwa Russia ndo nchi yenye air defense bora kabisa duniani lakini hii vita imetuonyesha hali tofauti,kwenye air defense nako ni dhofuli Hali. Kwasasa nchi yenye air defense bora kabisa ni Israel tu.
Air defense za Israel za kupambana na Hamas na Bado yanapenya
 
Hiyo Kherson ni hatari hapafai kuishi kiumbe chochote mana hiyo ardhi imesukwa vyuma vizito vyenye milipuko ya ajabu, mrusi hakimbii ila anaondoka tu, hapo ni jehanam.
Hao waliopo wanatembea hewani au?
 
Utawaweza pro russia waongo waongo sana na insha ndefu kusifu mandonga .
Si walisema kuna mtego?
Si walisema ni eneo la Russia ?
Imekuaje mandonga kakimbia eneo lake?

haha et mtego
bro trust me ukiona zelensk eneo amelitembelea kabisa jua ndo bas tena huo mda pro russia wakusubir hilo eneo lirud russia ni bora ukatafute shamba ulime matikiti
 
Murusi ametukera Sana Afrika ,, kitendo cha kukamata wafungwa kwa nguvu na kuwapeleka vitani hakikubaliki .

Kijana wa kiafrika kutoka Zambia amekutwa ameuawa na majeshi ya Ukraine ktk uwanja wa vita hii ni aibu kwa Putin.

Kijana huyo ambaye serikali ya Zambia ilielezwa kwamba amafungwa gerezani kwa makosa aliyo kutwa nayo .

Serikali ya Zambia na Afrika kwa ujumla ina hoji imekuwaje kijana huyo maiti yake kuokotwa uwanja wa vita??
 
BREAKING NEWS: Raisi wa ukreine Zelenskyy atembelea mji wa Kherson uliokombolewa majuzi na vikosi vya ukreine kutoka mikononi mwa urusi.

mwanaume yupo ndani ya artillery range za urusi na hamna kitu watafanya.

kaenda mbele kabisa kuangalia mipaka na mitego ambayo russia walisema wameiweka.

mwanaume huyu apa njooni mumkamate.
kaingia eneo la russia bila PASSPORT. wala visa


Zelensiky ni aina ya kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea duniani. Yani kama alivyokuwa shujaa wa Africa, hayati Magufuli vile.
 
Zelenksy ataandikwa kwenye vitabu vya Historia,komedian aliemtoa jasho kibabu kijasusi.Kibabu kimebaki dhofuli Hali.

Ila jamaa nnachomkubali tangu vita ianze hana habari na suti ni mwendo wa combat mwanzo Mwisho yaani muda wote yupo tayari kukwepa mabomu[emoji23][emoji23][emoji23]

Duu, vita ya NATO vs Russia. Hii haijawahi kuwa vita ya Russia dhidi ya Ukraine.
 
Back
Top Bottom