HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,591
Unadhani Zelensky mjinga?Hiyo Kherson ni hatari hapafai kuishi kiumbe chochote mana hiyo ardhi imesukwa vyuma vizito vyenye milipuko ya ajabu, mrusi hakimbii ila anaondoka tu, hapo ni jehanam.
Wanajeshi wake washafanya sweeping ya uhakika tokea Jmos hadi leo.
Ukiangalia hiyo video kuna mobile tower ya kuruhusu mawasiliano baina yao na wengine.