Zelensky atembelea Kherson

Zelensky atembelea Kherson

Nimejisomea hapo juu warusi wanaziogopa kweli hizo himars wanasaula wenyewe makorokoro yao kimya kimya. Shame to Russia.
 
Tulikua tunaaminishwa Russia ndo nchi yenye air defense bora kabisa duniani lakini hii vita imetuonyesha hali tofauti,kwenye air defense nako ni dhofuli Hali. Kwasasa nchi yenye air defense bora kabisa ni Israel tu.

Hata huu ni uongo. Hakuna siku NATO na US imefanya counterofffensive kwa Israel. Hii ni hadaa. Siku zote Israel anapata support ya US na NATO. Haina huo ubavu
 
Hiyo Kherson ni hatari hapafai kuishi kiumbe chochote mana hiyo ardhi imesukwa vyuma vizito vyenye milipuko ya ajabu, mrusi hakimbii ila anaondoka tu,
Hiyo Kherson ni hatari hapafai kuishi kiumbe chochote mana hiyo ardhi imesukwa vyuma vizito vyenye milipuko ya ajabu, mrusi hakimbii ila anaondoka tu, hapo ni jehanam.
hapo ni jehanam.

Wachache watakuelewa mkuu, hata ukiwauliza swali dogo,je,ni asilimia ngapi inakaliwa na jeshi la Zelensky ukilinganisa na asili mia kubwa ambayo bado hipo chini ya jeshi la Urusi - kama kuna watu bado wana amini kwamba jeshi la Zelensky litaendelea kushililia sehemu ndogo ya KHERSON - hilo lisahauni kabisa - watakuja kuvurumishwa mpaka mtabaki mnashangaa - dont confuse tactical withdraw na defeat - hayo ndio makosa wengi wenu mnayo yafanya - bottom line is:mtego wa jeshi la Urusi bado upo pale pale wanacho subiri ni opportune time ya kuufyatua, semeni mnacho taka lakini ukweli ndio huo - tukutane tena hapa baada ya desemba Mungu akipenda ili tupeane mrejesho/feedback au feedforward.
 
MI NAKUBALI ILA TUSIJE GEUKANA NA KUBADILISHA SENTENSI.NI KOSA KUKUBALI AU KUKATAA JAMBO AMBALO HUNA UHAKIKA NALO.
 
Tulikua tunaaminishwa Russia ndo nchi yenye air defense bora kabisa duniani lakini hii vita imetuonyesha hali tofauti,kwenye air defense nako ni dhofuli Hali. Kwasasa nchi yenye air defense bora kabisa ni Israel tu.
ZA ISRAEL ZIMETUMIKA WAPI MZEE.
 
Hata huu ni uongo. Hakuna siku NATO na US imefanya counterofffensive kwa Israel. Hii ni hadaa. Siku zote Israel anapata support ya US na NATO. Haina huo ubavu
HUYO SAIZI ZAKE WAGAMBO
 
hua sisomi yale mautumbo yake maana hua ni fix za kuwahaada wapuuzi wenzie wanao muunga mkono

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Mshamba sana yule pimbi na vipaza wenzake kule , wananijua , niliwapa za uso malaya wale mpaka wakamwambia mod anipige ban kwenye ule uzi mazima .
Cowards , hayawezi hata malumbano ya hoja , wao kila kitu ,ukiwabonda na hoja zao mfu wanakuita shoga .Nilijua kuwanyoosha .
Ngoja nimalize kutengeneza id nyingine ntarudi kuwanyoosha tena , [emoji200] nguruwe wale
 
Back
Top Bottom