Zelensky: Askari wa Urusi wanatega mabomu ya ardhini wanapoondoka

Watu wanabadili mbinu..........walishasema awamu ya kwanza imekamilika..........hii kitu kuisha bado sana

Watamaliza nayo mwaka. Atakama ikiishia urusi hawezi kuondoa majeshi yake yote iyo nchi ataweka base kama ilivyokua kwa marekani kule Afghanistan
 
Sasa mbona Krimea ilichukuliwa kiajabu ajabu bila resistance?
Urusi inamzid Ukraine mbali sana hivyo waliohofia kukuza mgogoro ila this time again , Putin kanogewa so atajilipa tamaa zake
 
Back
Top Bottom