CCM kwa kuforce kingi mtaishia kuzomewa kila mtakapokwenda waacheni wapemba nao wapumue
Habari kutoka Bwawani zinasema maji ya bwaha hilo hayatatosha kuzima moto utakaowashwa ikiwa ZEC itakwenda kinyume na matokeo ambayo tayari CUF wameshayatia mkononi pamoja na njia zote zilizotumika wakidai wacha za Urais hata kura za wabunge na wawakilishi zilizoibwa zirudishwe na kutangazwa kama zilivyosajiliwa na mawakala.
Mwisho waliokusanyika wanasema waliomo ndani ni wa ndani na wanje ni wanje any time wanaweza kwavamia waliomo ndani na kubaki alieajaaliwa uhai.
Nimezungumza na jamaa mmoja ambae yupo kisiwani unguja ameniambia kuwa tume ya uchaguzi ZEC imeahidi kutoa matokeo ifikapo saa kumi alasiri leo. Amenieleza kuwa kwa majumuisho ya kura kwenye vituo vyote inaonyesha Maalim Seif Shariff wa CUF ameshinda na wana wasiwasi kuwa kuna hila za kutaka kubadilisha matokeo na kumtangaza Dr Sheni mshindi. Amenihabarisha pia pia kuwa kuna ujumbe mzito zanzibar mzee mwinyi na mkapa wapo zanzibar na kuwa jana usiku JK alienda huko.
juu ya yote amenihakikishia kuwa watakufa na mtu safari hii ikiwa kura zao zitachezewa.
I will update you once I get feed back from him.
Jamani hiyo saa kumi bado tuu? au saa kumi alfajiri??