Elections 2010 ZEC yaahidi kutoa matokeo rasmi saa kumi

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Nimezungumza na jamaa mmoja ambae yupo kisiwani unguja ameniambia kuwa tume ya uchaguzi ZEC imeahidi kutoa matokeo ifikapo saa kumi alasiri leo. Amenieleza kuwa kwa majumuisho ya kura kwenye vituo vyote inaonyesha Maalim Seif Shariff wa CUF ameshinda na wana wasiwasi kuwa kuna hila za kutaka kubadilisha matokeo na kumtangaza Dr Sheni mshindi. Amenihabarisha pia pia kuwa kuna ujumbe mzito zanzibar mzee mwinyi na mkapa wapo zanzibar na kuwa jana usiku JK alienda huko.

juu ya yote amenihakikishia kuwa watakufa na mtu safari hii ikiwa kura zao zitachezewa.

I will update you once I get feed back from him.
 
CCM kwa kuforce kingi mtaishia kuzomewa kila mtakapokwenda waacheni wapemba nao wapumue
 
Mzee Mkapa alishasema chama kinachotakiwa kutawala ni chama cha mapinduzi na kusisitiza mapinduzi daima..... CUF dhahiri wameshinda ila wanataka kufanya mapinduzi
 
Habari kutoka Bwawani zinasema maji ya bwaha hilo hayatatosha kuzima moto utakaowashwa ikiwa ZEC itakwenda kinyume na matokeo ambayo tayari CUF wameshayatia mkononi pamoja na njia zote zilizotumika wakidai wacha za Urais hata kura za wabunge na wawakilishi zilizoibwa zirudishwe na kutangazwa kama zilivyosajiliwa na mawakala.

Mwisho waliokusanyika wanasema waliomo ndani ni wa ndani na wanje ni wanje any time wanaweza kwavamia waliomo ndani na kubaki alieajaaliwa uhai.
 
Ngoja tuone mziki wake utakavyokuwa maana hizo habari wanazotaka kufanya sio kabisa
 
Habari kutoka Bwawani zinasema maji ya bwaha hilo hayatatosha kuzima moto utakaowashwa ikiwa ZEC itakwenda kinyume na matokeo ambayo tayari CUF wameshayatia mkononi pamoja na njia zote zilizotumika wakidai wacha za Urais hata kura za wabunge na wawakilishi zilizoibwa zirudishwe na kutangazwa kama zilivyosajiliwa na mawakala.

Mwisho waliokusanyika wanasema waliomo ndani ni wa ndani na wanje ni wanje any time wanaweza kwavamia waliomo ndani na kubaki alieajaaliwa uhai.

We waache wafanye mchezo wanataka kuchezea kura za watu
 
Nimezungumza na jamaa mmoja ambae yupo kisiwani unguja ameniambia kuwa tume ya uchaguzi ZEC imeahidi kutoa matokeo ifikapo saa kumi alasiri leo. Amenieleza kuwa kwa majumuisho ya kura kwenye vituo vyote inaonyesha Maalim Seif Shariff wa CUF ameshinda na wana wasiwasi kuwa kuna hila za kutaka kubadilisha matokeo na kumtangaza Dr Sheni mshindi. Amenihabarisha pia pia kuwa kuna ujumbe mzito zanzibar mzee mwinyi na mkapa wapo zanzibar na kuwa jana usiku JK alienda huko.

juu ya yote amenihakikishia kuwa watakufa na mtu safari hii ikiwa kura zao zitachezewa.
I will update you once I get feed back from him.

Habari si ya kweli, Dr. Shein Kashinda jama!
 
jamaa ametoka kunihabarisha hivi punde kuwa dr sheni alishakubali kusaini kushindwa lakini mkapa na mwinyi wameingilia kati asisaini... tungoje tuone itakuwaje....
 
Habari zilizonifikia hivi punde zinasema CUF wamepoteza kiti cha Urais na CCM imeshinda kwa asilimia 50.1% na Maalim Seif kesha saini kukubali kushindwa ila jamaa wameonya kama kakubali ni yeye maana wao wana majumuisho ya kura zote zinazoonyesha CUF wameshinda kwahiyo lazima kitaeleweka. Kama itakuwa kweli inasikitisha sana kwa Maalim Seif kuwasaliti Wazanzibari.
 
ZEC wameahidi kuwa ifikapo saa mbili na nusu usiku watatangaza matokeo ya majimbo manne yaliyobaki na baada ya hapo watangaza rasmi raisi wa awmu ya 7 huki zenjbar
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom