Ze komedi wapigwa zengwe

Jamani kwani wanakosea nini hapo mi naona wanajaribu kufikisha ujumbe kwa jamii

Vilevile wanajaribu tu kuwanyima uhuru wa kuwakosoa watu na jinsia zao ambazo ni tofauti na wao

Hii ndo Tanzania we unadhani ule ugomvi wa wanawake wa ccm wataripoti vipi kwa jamii kama hajauvaa huoo uhusika

Hebu tuache mawazo mgando.
 
Na wala sio zengwe, this is just infact a true fact. like it or not, is has an impact, angalia tu watoto wadogo watakavyo mu-admire Joti mdada, na je wakitaka kufuata nyayo zake itakuwaje?
 
Back
Top Bottom