Ze komedi wapigwa zengwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ze komedi wapigwa zengwe

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 29, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  komed.jpg


  Ukichunguza ni kweli lakini wanachochea Ushoga hawa Ze komedi
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sipendi wanavyotumia taswira ya mwanamke kuchekesha watu kwan hawana ubunifu mwingine? Hopeless
   
 3. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Maadili ya kazi hapa hayakuzingatiwa! hebu muangalieni huyo Joti! this is more than acting!!
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Heri wamesema. Maana unakuta watu wanaupiga vita ushoga hapa, lakini ni kwa kwanza kuwaangalia hawa jamaa waki-act kama mashoga. Ngoja nipaste hii picha kwenye ile thread ya Boflo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Dah! Afadhali maana hawa jamaa na style hii kitambo nilikuwa siwaafiki.
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hivi kweli Dume zimaa kuvaa kama jike? khaaaa,
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ndo leo wamejua hiloo
   
 8. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Well, said Mkuu..very true!Morally ni vibaya(udhalilishaji),
  Spiritually(Kumbukumbu la Torati /Deutoronomy 22:5) sijui kwa wenzetu ma-ustaadhi!
  But i dont this is even culturally acceptable!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  huyu ni bonge la mrembo, naweza kumpata wapi?? mpoki.jpg
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Teh teh kwi kwi kwii.Mburula!
   
 11. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wako kazini na ndio kazi walioichagua ili waweze kuingiza kipato....siwalaumu maana ni waigizaji.wana maisha mengine behind the camera
   
 12. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila kajoti kangekuwa kademu nadhani kangekuwa mapepe sana na kangekuwa kademu ka mizinga ile mbaya
   
 13. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ubunifu umewishia, imebaki mazoea na hawana jipya tena.
   
 14. Johas

  Johas Senior Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  - Morally

  - Spiritually

  - Culturally... base on ours ( African )

  All above is unaccptable.!!!
   
 15. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Tena wakome kuwafanya dada zetu kama chombo cha kuchekeshea watu. Halafu mbona kinadada kama wanafurahia hali hii! TAMWA kimya, TNGP Mabibo kimya, Nkya kimya, Bisimba kimya....... kama hawaoni vile.
   
 16. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hiyo ndio kazi inayowaweka mujini,full kutembelea makario!!ukiona wanakukera sana kwnn uwaangalie
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mi sioni tatizo imradi wanafikisha ujumbe kwa jamii husika
   
 18. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Nadhani mimi binafsi napingana na huu mtazamo eti hawa jamaa wanachochea tabia za kishoga. Naomba kuuliza hivi ushoga chanzo chake ni nini hasa? unaanzaje? mi najua hii kitu inakuwa ndani ya mtu kutokana na jinsi alivyokuzwa au kujifunza mwenyewe. Hawa vijana wako kazini wanaigiza na imekuwa ni ajira kwao,nadhani sual la kuwalaumu wao kuwa wanachochea ushoga si kweli kwa sababu ushoga ulikuwepo hata kabla ya hawa wasanii kuwepo na hata kama wakiacha kuigiza kwa style hii bado ushoga hauwezi kuisha hapa nchini. Ushoga ni tabia ya mtu ya ndani na ni mtu kaamua mwenyewe kuwa hivyo.Ni hayo tu.
   
 19. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  yale yale ..., kutafuta wa kusingizia kwa makosa ya wengine

  Hivi kuna mtu ambae hajui kwamba pale wanafanya acting (na sio kweli) ?

  Kwahio na wanaoact kama majambazi wanahamasisha ujambazi, wanaoact kama wachawi wanahamasisha uchawi ?

  na kama matajiri wanahamisha utajiri ?

  Tuachane na kutafuta wa kulaumu na kusingizia (hivi mtu akiona the comedy wana-act kama mwanamke,) wanasema duh ngoja niwe shoga sababu nimeona the Comedy ?

  Give me a break...
   
 20. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  wako kifungoni hawawezi kumkejeli tena mama salma kama mwanzo na viongozi wengine huku thamani yao ikishuka kila kukicha naona wengi wao sasa wanatoa single .miziki ya injili ,......but hali sio nzuri kwao wanakimbiwa afadhali utazame futuhi utafurahia vipaji kuliko hawa jamaa ...kwishney ,,,,
   
Loading...