Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
hao wanakutaka ufanye servery ndio wakupe kama kweli watakupa. wakikupa wewe lete hizo premium cookie nikufunze jinsi ya kuzitumia
kama utakuwa umeangalia video ya kwanza anaelezea kuwa zinapatikana ZeroBigz.COM | Get Your Links Freemiumized !! unachoitaji ni ku-register
afu weenyewe wameshrink hizo link kwa adfly ili wapate chochote lkn mm nilipata tatizo ktk registering ananambia "display name should have alphhanumerals"

angalia https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/335596-ondoa-kikwazo-cha-speed-kutoka-zbigz.html fungua post number 21 utaona mfano wa cookie za zbigz. hawa jamaa ni wazushi tu. wanatoa cookie ya zbigz kama ZeroBigZ.Com_ZbigZ_Cookie_286595. wanakupotezea muda tu.....
itakubali kwa masharti kuwa mwenye hii account awe hajalogout. na ukiingia utaona ni email yake na zbigz account yake na utayakuta mafail yake aliyoya upload....Hivi hiyo km mm nikitumia inakubali
mkuu mbona speed ya caching torrent ni ndogo
msaada pia nautaka ,,kwa nn ni ki-zip file kuna problem loadind the page without success