zbigz free premium download

zbigz free premium download

hao wanakutaka ufanye servery ndio wakupe kama kweli watakupa. wakikupa wewe lete hizo premium cookie nikufunze jinsi ya kuzitumia
 
kama utakuwa umeangalia video ya kwanza anaelezea kuwa zinapatikana ZeroBigz.COM | Get Your Links Freemiumized !! unachoitaji ni ku-register

afu weenyewe wameshrink hizo link kwa adfly ili wapate chochote lkn mm nilipata tatizo ktk registering ananambia "display name should have alphhanumerals"
 
internet kuna wajanja wengi, kama nilivyokuambia, hawatoi cookie. wanakusumbua kwa adfly na survery kisha wanakupa kitu ambacho sio cookie.....
wanakupa kitu kama hiki ZeroBigZ.Com_ZbigZ_Cookie_286595 wakati cookie za zbigz haina shape hiyo.....
ni wasumbufu tu...... tafuta post yangu ya zamani kidogo utaoa shape za zbigz cookie
 
kama utakuwa umeangalia video ya kwanza anaelezea kuwa zinapatikana ZeroBigz.COM | Get Your Links Freemiumized !! unachoitaji ni ku-register

afu weenyewe wameshrink hizo link kwa adfly ili wapate chochote lkn mm nilipata tatizo ktk registering ananambia "display name should have alphhanumerals"

angalia https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/335596-ondoa-kikwazo-cha-speed-kutoka-zbigz.html fungua post number 21 utaona mfano wa cookie za zbigz. hawa jamaa ni wazushi tu. wanatoa cookie ya zbigz kama ZeroBigZ.Com_ZbigZ_Cookie_286595. wanakupotezea muda tu.....
 
Mkuu Paje na mimi nijaribu "PREMIUM FOR FREE" na kimepata ya 1 day subscription.

COOKIES ZAKE NI: uglar8nj74rfm597t37tn4nlg5
 
Last edited by a moderator:

Hivi hiyo km mm nikitumia inakubali
 
Last edited by a moderator:
Hivi hiyo km mm nikitumia inakubali
itakubali kwa masharti kuwa mwenye hii account awe hajalogout. na ukiingia utaona ni email yake na zbigz account yake na utayakuta mafail yake aliyoya upload....
 
Mkuu Paje na mimi nijaribu "PREMIUM FOR FREE" na kimepata ya 1 day subscription.

COOKIES ZAKE NI: uglar8nj74rfm597t37tn4nlg5

mkuu mbona speed ya caching torrent ni ndogo

msaada pia nautaka ,,kwa nn ni ki-zip file kuna problem loadind the page without success
 
Wakuu hamna alternative ya zbigz?? (Website inayoweza kufanya kazi kama ya zbigz)
 
mkuu mbona speed ya caching torrent ni ndogo

msaada pia nautaka ,,kwa nn ni ki-zip file kuna problem loadind the page without success

Mkuu hata mm sometimes yana nipata. Keep trying unaweza ukabahaika likazip fresh tu.
 
Back
Top Bottom